unajua kwamba kongo kinshasa na kongo brazaville ziko jirani kama dar na kigamboni? hayo majumba uyaonayo ni brazaville, mji uliotenganishwa na kongo kishasa na mto kongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka Michuzi naomba nikusahihishe ni nchi iliyotengwa na mto Congo na sio mji kama ulivyosema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...