Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hivi kusherekea miaka 45 ya uhuru lazima kuonyesha maziwa wazi au ndio uhuru wenyewe.

    ReplyDelete
  2. Mbpffffffffffffff, lazima ufyonze kwanza
    Ee bwana eeh, hicho kifaa duh, uta kaa chonjo maana yake!! Kifua saa sita kamili mchana!!!, wenzangu wanajua maana yake!!
    wala sitaki kumalizia, taaaaabu tupu
    Swali, huyu ni Mtanzania au Michuzi umetuwekea tu ili mradi tufurahishe miyoyo yetu?! Basi umeshinda babu

    ReplyDelete
  3. HUYU NI MWANADADA BEYONCE.UPO?

    ReplyDelete
  4. jamani, huyo ndio dada yetu cynthia masasi???

    ReplyDelete
  5. hey babu hujui photoshop na silicon valley karne hii?? Usiamini vyote uvionavyo. Ni hela yako tu. ""Don't you wish your girl was hot like me"""Ouch. Nilikuwepo huko jana wala sijamuona yeyote nimetafuta weeeeeee UHURU PARTY HIYO

    ReplyDelete
  6. huyu ni Cynthia Masasi acheni amneno yenu!

    ReplyDelete
  7. huyu sio cynthia she wish!!coz I can prove na wala sio mtanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...