usiku huu kulikuwa na mkia wa jogoo kama kipasha moto cha warsha ya siku nzima ya biashara itayofanyika kesho hapo kilimanjaro kempinski hoteli chini ya uenyekiti wa jk

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi, huu mkia wa jogoo ndio nini tena? ni aina chakula au? kama ni chakula maana yake siku hizi home watu wanakula manyoya? kadri ninavyofahamu mkia wa jogoo ni manyoa. hebu nieleweshe zaidi.

    ReplyDelete
  2. Mkia wa Jogoo = Cocktail Party: Vinywaji kwa kusimama tu. Zamani wa Ulaya-Amerika kupenda fasheni ya koti mrefu kwa upande wa matako tu. Na kufunga ku-rutai lwa pembe (bow-tie) ku-mfwano wa bupindi kuinda. Kurutai banafunga mifundo mbili sawa kuonyesha kwamba mapumbu ya wabale iko imefungwa sawa haiwezi kuwa mtisho kwa ba mwasi. Na wa-mwasi kuvalia kumvalio mrefu hadi kubirenge (migulu) na kiasi ya kuwacha dodo bila mfuniko sawa wa gawuni, bila kuogopa kwa sababu ma-balls ya wabale iko ku kifungo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...