jk akikaribishwa kwenye mkia wa jogoo usiku huu kilimanjaro kempinski hotel. katikati ni elvis musiba, rais wa chama cha wafanyabiashara, viwanda na kilimo. kumbuka huyu ndiye mtunzi wa zile riwaya za kachelo willy gamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Musiba alishakaa sana jela kwa wizi wa pesa leo mwenyekiti wa wafanyabiashara? Ama kweli Bongo!

    ReplyDelete
  2. Kachero ,ro ro ro na si kachelo ! Asante

    ReplyDelete
  3. Yaani fani wa Elvis, the pop singer, alikuwa mwizi? Labda ndiko kujenga nchi! hao wezi ndio wakina Carnegie Mellon, Morgan na Rockefeller wa Bongo baadaye -nao walianza kwa wizi wizi!

    ReplyDelete
  4. Kwakweli hii kweli bongo, napenda kumsapoti anony wa kwanza kabisa, huyu jamaa alikuwa chori na amesevu taimu yake sana lupango (jela) sasa leo ni mwenyekiti wa wafanyabiashara.Duh, na miongoni mwa washkaji walomsevu ni George Kahama. Na huyu dada kafanana na Anna Kahama weupe na kila kitu hata nywele, je ni yeye? basi makubwa wanaonyesha mambo kweli hii bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...