mambo kama kawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wow!!!! I MISS THIS

    ReplyDelete
  2. Aiseeeeee, yani kaka Michu unaniua sasa. Chips mayai, nimezipania sana nikija bongo mwakani. DUH. Acha tuuu.

    ReplyDelete
  3. Kanuni moja ya afya: Licha ya kunawa mikono - hasa ukitoka msalani, vaa soksi (gloves) za ku-hendlo na ku-sevia vyakula! Wakia moja ya kinga ni zaidi ya tani ya kuponyesha! KIPINDUPINDU bado chatuandama!

    ReplyDelete
  4. haluuuuu!! mi pia na miss hizi,aluuu jaza kachumbali aisee!!

    ReplyDelete
  5. NAZIKUMBUKA SANA TENA SANA CHIPS, KUKU NA MAYAI YA NYUMBANI, CHAKULA KITAMU UKILA UNAJISIKIA SIYO FRIES ZA UNYAMWEZINI NA MIKUKUYAO ILIYO PIGWA KA MAKEMIKALI NA MAYAI YAO YA KUKU PIA JAMANI NATAMANI NINGEWEZA INGIA KATIKA PICHA HII NIENDE NIKAJITAFUNIYE CHAKULA HIKI AAAH...MSIFANYE KOSA LA KUIGA NA MWISHOWE MTAKUWA NA JUNKY FOOD KAMA ZA UNYAMWEZINI NA KWA MAMA ELIZA JAMANI JACHULA KITAMA KIPO BONGO PEKE YAKE. WACHENI ZENU COMMENT ZISIZO NA MPANGOOOO, SHUKRAN SANA MICHUZI KWA KUTUWEKEA PICHA ZA KILA AINA TULIO MBALI NA NYUMBANI UNATUPA FARAJA ISIYOSHINDA KIFANI UBARIKIWE DAIMA SHUKRA SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...