Home
Unlabelled
chipsi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow!!!! I MISS THIS
ReplyDeleteAiseeeeee, yani kaka Michu unaniua sasa. Chips mayai, nimezipania sana nikija bongo mwakani. DUH. Acha tuuu.
ReplyDeleteKanuni moja ya afya: Licha ya kunawa mikono - hasa ukitoka msalani, vaa soksi (gloves) za ku-hendlo na ku-sevia vyakula! Wakia moja ya kinga ni zaidi ya tani ya kuponyesha! KIPINDUPINDU bado chatuandama!
ReplyDeletehaluuuuu!! mi pia na miss hizi,aluuu jaza kachumbali aisee!!
ReplyDeleteNAZIKUMBUKA SANA TENA SANA CHIPS, KUKU NA MAYAI YA NYUMBANI, CHAKULA KITAMU UKILA UNAJISIKIA SIYO FRIES ZA UNYAMWEZINI NA MIKUKUYAO ILIYO PIGWA KA MAKEMIKALI NA MAYAI YAO YA KUKU PIA JAMANI NATAMANI NINGEWEZA INGIA KATIKA PICHA HII NIENDE NIKAJITAFUNIYE CHAKULA HIKI AAAH...MSIFANYE KOSA LA KUIGA NA MWISHOWE MTAKUWA NA JUNKY FOOD KAMA ZA UNYAMWEZINI NA KWA MAMA ELIZA JAMANI JACHULA KITAMA KIPO BONGO PEKE YAKE. WACHENI ZENU COMMENT ZISIZO NA MPANGOOOO, SHUKRAN SANA MICHUZI KWA KUTUWEKEA PICHA ZA KILA AINA TULIO MBALI NA NYUMBANI UNATUPA FARAJA ISIYOSHINDA KIFANI UBARIKIWE DAIMA SHUKRA SANA
ReplyDelete