ati chuwa nae alikuweko kwa balozi wetu drc mh. maharage

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mavazi yenu nimeyapenda au niseme mashati yenu.Chuwa ni mwanahabari makini

    ReplyDelete
  2. Sango nini, Mchusi? Akisante kwa kufika mu Kishansa! Budumu burafiki Tanzania na DCR!
    Ba di Tanzania, mimi iko kuchukua ku-nafasi hii kwa kutaka kuyua kama Balozi Mawado na Balozi Maharage ni dugu moya?

    ReplyDelete
  3. Picha nzuri sana bwana Michuzi. Ubaya ni kwamba picha kama watu wengi hawako interested kutoa maoni, wanasubiri zenye kuwapa fursa ya kuandika 'matusi'

    ReplyDelete
  4. nilisomaga na jamaa anaitwa godluck chuwa, ndiyo yeye au wanafanana

    ReplyDelete
  5. hilo jitu jeusi linafaa kuwa bouncer wa mchumba wangu Cynthia, tena MICHUZI ulisema uta wapa wapambe calender za Cynthia Masasi mpaka leo hujaweka.Mchumba wangu CYNTHIA ANAZIDI KUWA MZURI HAPA ATLANTA WATU WANAKIMBIZANA LAKINI MIMI NDIYO NIMEBAHATIKA. MICHUZI NIPE CONTACT YA HILO JITU JEUSI KATIKATI YENU LINAFAA KABISA KUWA BOUNCER WA QUEEN CYNTHIA MY WIFE TO BE.

    ReplyDelete
  6. MICHUZI WOTE MMEKALILI POSE NINI NAONA KAMA MNASUBILI KUUNGAMA KWA PADRE KANISANI HILO POSE LA KUSHIKA MIKONO? MBONA ISSUE!!!

    ReplyDelete
  7. Michuzi wewe mkali je huyo Mzee Maharage hakukuuliza kwanini UMEKUWA kama Charles Njonjo?? Kwasababu nimelishitukia hilo batiki lako limeandikwa MICHUZI!!!! Sawa bwana, nami naomba unifanyie booking ya batiki lilioandikwa Revd. EVM, ili nami nitambie watu wangu hapa Sweden.

    ReplyDelete
  8. Huyo Balozi mtu wangu sana tulikuwa tunakula naye bata sana wakati yuko UAE mji wa Dubai alikuwa balozi mdogo kule,na anaishi makongo juu hapa Dar es Salaam huyo,hana noma kabisa jamaa huwa anajichangnya na mtu yeyote yule hivyo sio issue kubwa kupiga naye picha.

    ReplyDelete
  9. hahaa teh teh ... we mwana mboka, juu ya nini ulikuwa hujui kuwa mutu na mutu alisee sala na yee. ?! balozi Maharage nagai Tukuyu au Njombe.

    ReplyDelete
  10. Balozi M. J. Maharage mtu poa sana, mtu wa watu. Huyu ni Mgosi wa Tanga, ni mdogo wa Balozi K. Mwawado wa Misri.

    ReplyDelete
  11. Anonymous wa masaa Wednesday, December 06, 2006 8:01:48 AM, Sango malamu! Aksanti mingi sana, di, kwa fasi yako kuniyulisha. Kumbe ni bandugu! Badungu hii bana afazari kubwa kuwa mabalozi. Nchi mingi kudunia, bandungu bawili si kuwa kabisa mabalozi! Batu batasema unaona ku macho mbili bandugu bawili kupeyana kibarua! Tanzania iko makali kwa siasa bila bukabila ama budungu (tribalisme or népotisme)!

    Malamu wana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...