natoa heshima kwenye kaburi la hayaki kabasele yampanya pepe kalle barabara ya juni 30 kinshasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi.Binafsi ni shabiki mkubwa wa nyimbo za marehemu Pepe Kale na hapa nina baadhi ya kaseti zenye nyimbo kama vile Hidaya,Yanga bingwa,Devisepa,n.k.Jitu la miraba minne lilikuwa si mchezo.

    ReplyDelete
  2. Jamani Pepe Kalle amefariki! sikusikia hizo habari, inaelekea ni muda mrefu kidogo.

    Rest in Peace!

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Hili kaburi hapa Iringa unaweza ukajenga nyumba ya vyumba vitatu! Tunasubiri picha zaidi. Usikose kutembelea Kariakoo ya Kinshasa tulione soko lao.

    ReplyDelete
  4. R.I.P. Papa Yampanya!
    Michu, Nuff Respect!
    Lakini hebu dondoa wakati ukiwa "Kin" ni faida gani familia ya marehemu imepata kutokana na Copyrights za kazi zake alioziacha?
    Jee! Kundi zima la Umpire Bakuba bado lipo au limekufa? Wanamuziki wa kundi hilo wako wapi?
    Jee! Kuna mfumo rasmi au usio rasmi ambao sisi wabongo tunaweza kuuiga ili kuwaenzi wanamuziki wetu katika hadhi wanayostahili kitaifa na sio kama ilivyokuwa kwa marehemu Salumu Abdallah, Mbaraka Mwaruka Mwinshehe, Marijani Rajab (mwana manyema)Patrick Balisidya, TX Moshi na wengine wengi?! At least bwana " Freddie" Ndala Kasheba alipata maziko yanayostahili.

    ReplyDelete
  5. Richmond Development Company of Houston (RDC) which is developing several projects in the East African nation of Tanzania hosted The Tanzanian Ambassador to USA, The Honorable Andrew M. Daraja to Houston, Texas, from July 20 through to July 22, 2003.

    During his visit, Ambassador Daraja was introduced to the leaders of the business community of Houston, which also included alliance partner companies of RDC.

    Ambassador Daraja acknowledged that the African region is becoming prominent with regard to the economic and strategic interests of United States as evidenced by President Bush's recent trip to the region.

    "With some of our Tanzanian projects approaching financial close, RDC will add new high caliber jobs in Houston" said Dr. Huque, a principal at RDC.

    "The fact that Ambassador Daraja came to Houston demonstrates the commitment of The Government of Tanzania to extend business cooperation of Houston based companies" added Mr. Gire, another principal at RDC.

    The highlight of The Ambassador's visit to Houston was a Gala Dinner attended by Dr. Lee P. Brown, Mayor of Houston.

    The Mayor awarded an honoree citizenship to The Ambassador.

    ReplyDelete
  6. Michuzi unaweza kuona picha za hasheem thabit hapa http://sports.espn.go.com/ncb/teamphotos?photoId=1367436&teamId=41

    ReplyDelete
  7. kama alivyoomba Mtoa Maoni: Maggid Mjengwa - Monday, December 04, 2006 8:56:00 PM, Issa nenda pale Matonge. Kutembelea Kinshasa bila kufika Matonge ni sawa na kutembelea Addis Ababa bila kufika Mercato, Nairobi bila kutua Mathare, New York bila kufika Harlem, USA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...