dar haijachacaha siku hizi..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Shida za Umeme, maji, rushwa vimeisha pia? Au majengo tu..... Acha ushamba Michuzi!

    ReplyDelete
  2. acha ushamba wewe anonymous kwani michuzi alivyotuwekea hii picha katuambia kwamba shida hiyo imekwisha basi mimi nakwambia hajaisha sasa wewe tutatuliye sawa tukushukuru, domo kaya tuu, picha hii kwako kama ni karaha nenda zako na kivyako vyako lakin kwa wenginewe ni burudani tosha tena isiyo na kifani kuona jiji letu la dar linavyoshamiri, michuzi asante sana kwa picha hiii na kumbuka dar ile mbaya tena na miss kinoma noma aaa jamani eeeh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...