maonesho ya nane ya wafanyabiashara wa ist afrika mashariki ya nguvu kazi/jua kali yanaendeala bustani ya mnazi mmoja gaden na yatamalizika jumatano. wakenya wengi wamechangamkia tenda hiikwani wako kibao kuliko wabongo na waganda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni maonyesho ya jua kali hasa, naona nyasi na hata bendera ya Uganda umeanza kunyauka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...