julio na afande kipingu waliokuwa musoma katika safari yao ya kusaka vipaji vya soka walihudhuria maadhimisho ya siku ya miwaya uwanja wa karume. ikumbukwe pamoja na kuwa mkuu wa shule ya sekondari ya makongo, mwenyekiti wa baraza la michezo la taifa, skauti mkuu pia ni mlezi wa programu ya kuendeleza soka kwa vijana chini ya mpango unaogharamiwa na kampuni ya kina jack pemba ya gsb

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Watu kama hawa kina kipingu ndio wanaofaa kuwa viongozi wanchi. Hata kama mnakula basi muwe na uchungu na nchi mambo yaonekane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...