
julio na afande kipingu waliokuwa musoma katika safari yao ya kusaka vipaji vya soka walihudhuria maadhimisho ya siku ya miwaya uwanja wa karume. ikumbukwe pamoja na kuwa mkuu wa shule ya sekondari ya makongo, mwenyekiti wa baraza la michezo la taifa, skauti mkuu pia ni mlezi wa programu ya kuendeleza soka kwa vijana chini ya mpango unaogharamiwa na kampuni ya kina jack pemba ya gsb
Watu kama hawa kina kipingu ndio wanaofaa kuwa viongozi wanchi. Hata kama mnakula basi muwe na uchungu na nchi mambo yaonekane.
ReplyDelete