jk akikaribishwa kwenye mkia wa jogoo usiku huu kilimanjaro kempinski hotel. katikati ni elvis musiba, rais wa chama cha wafanyabiashara, viwanda na kilimo. kumbuka huyu ndiye mtunzi wa zile riwaya za kachelo willy gamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kwa kweli michuziii jk anawakaa snaaa... na kaziii wanzopiga yeye na lowassa '' ni balaaaaa.. kwetu sisi tulio ugaibuni tunalielewa hilooooo sanaa na tunali-heshim kwa nguvu zoteeeee.....

    ReplyDelete
  2. Eti "kwetu sisi tulio ugaibuni tunalielewa hilooooo sanaa na tunali-heshim kwa nguvu zoteeeee....."

    Nani kakuteua kuwa msemaji wa walio ugaibuni? Ulikutana na wa-Tanzani woooooooooooooooooote walio ugaibuni na kupata maoni yao? Huu ni mfano mzuri wa propaganda, pa exlensi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...