simba wa vita kapewa mtaa japani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wewe michuzi wacha kuchekesha watu mkuu wangu,hayo ndiyo mambo ya lugha ya kijapani maneno mengi sana yeendane kwa lugha ya kiswahili mkuu wangu wacha kupotesha watu.

    Mimi hapa landon nimeshawaona mwenywe kwa macho yangu na kuwauliza hawa majamaa hizo nguo zao maandishi yana maana gani kwa kwako wakanijibu tofauti kabisa kwa tafsiri ya nyumbani,

    Kwani T-shirt zao zilikuwa zimeandikwa CHA MOTO na CHAKUMA,kwako siyo matusi kabisa,hivyo basi michuzi kabla hujandika na kufagilia mtu jaribu kuuliza maana ya KAWAWA in japani wana maana gani

    THankx

    ReplyDelete
  2. Michuzi, acha Kawawa...hapa nipo chuo kikuu cha Kumamoto. Nashindwa kuwapa anuani nyumbani sitaeleweka.

    ReplyDelete
  3. Baaaab Kubwa!
    Yaani imetulia, kawawa road, kawawa street n.k Jina linasonga mbele na Mzee anakumbukwa!..Nina hakika hata yeye hajui ka kawawa kwa kijapani ni nini!

    ReplyDelete
  4. KUMAMOTO MOTORS kuna kiwanda kikubwa cha TOYOTA!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...