wadau wakiserebuka na midundo ya kiafrika inayopigwa na bendi ya fresh jumbe kule tukuyu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi, yani una bore sana unapo andika miji ambapo tuna kuwa hatuelewi, Tukuyu ni wapi? Naomba andika miji kama ilivyo sio unatupa tabu kuanza kutafakari una maana gani!!!.

    ReplyDelete
  2. MMhm.. Ni Tukuyu ya Rungwe? Nilishtuka sana mwanzo, kuona jinsi mji mdogo wa tukuyu ukiwa na sura za kimataifa!... Baadae nikaona hiyo itakuwa ni Tokyo tu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...