Home
Unlabelled
lesotho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu mwanamke ni nani? kama anafanya kazi protocol afundishwe jinsi ya kuvaa. sio anavaa vinguo vinavyopeperushwa na upepu ovyo.
ReplyDeleteKama wewe unajua kuvaa sana mbona hatukuoni kwenye fashion show. Aliyempa kazi aliona anafaa. We kaa kimya na ku post comment zako za kipumbavu. Huwezi ku fight nature. Kama kuna upepo, utauzuia vipi, na unajua airport iliko pale Dar. Ni sehemu tambarare, ya wazi. Common sense inakwambia upepo hapo ni kawaida.
ReplyDeleteMie naunga mkono huyo mama hapo Sofia Simba kavaa mavazi yasiostahili kupokea wageni wa rais wa nchi na taifa ina maana huko bongo kuna joto kiasi cha kushindwa kujitanda kitenge na kama upepo basi tungengoja upeperushe kitenge kuna hoja zingine zina msingi na mimi naunga mkono masikitiko ya walionitangulia sijaridhishwa na mavazi ya huyo mama kwa wakati huu kwani hata kwa mkwewe kule Chanika angevaa kistaarabu kidogo , haifai mwanamke wa kiislamu kwenda kifua wazi namna ile kama anataka ujana awaachie akina Amina Chifupa sio yeye mama mtu mzima na tena mke wa al-maaruf Kitwana Kondo (KK)
ReplyDeletehuyo mwanamke alitakiwa avae nguo za kiprotocol. Kama kazi yake ni kupokea wageni mashuhuri kama wakuu wa nchi, at least angevaa suti au kitenge. Hivyo anaonekana na hizo nguo all over the place. Karibu hiyo Skirt iwapige kikumbo hao wageni.Hivi chuo cha diplomasia pale kigamboni kinawafundisha nini hao watu. Hawafundishwi kuwa mavazi ni sehemu ya kuonyesha heshima na utamaduni wa nchi. Angalia wote alioenda kuwapokea walivyovyaa kiheshima na wengine kiutamaduni. Miaka 45 ya uhuru bado tuko worse than before 1961.
ReplyDeletewe anony wapili usipende kutukana watu, kama umeridhishwa na mavazi yake we tume comment na sio kutukana watu. pumbavu ni mdomo wako na akili zako. huyo aliyempa kzi hakumuambia avae nguo zinazoweza kumdhalilisha kama hiyo.
ReplyDeleteEti unasema nature, yeye ni mama mtu mzima hako kasketi kakiibuliwa na upepo chupi yote kabaki nje wewe ungeona raha?
fikiri kabla ya kutenda.
wewe anonymous wa pili acha mambo ya mtaani inaonekana wewe ndio wale wanaoenda kubipagana vikumbo kwenye mataarabu. hoja gani umeandika isiyo na msingi kabisa.
ReplyDeletemtu lazima akosolewe.
wataalamu wanasema kama huwezi kutenda; fundisha na kama huwezi kufundisha, basi kosoa.
Nakubali huyu mama apewe twisheni ya kuvaa kunakoendana na kazi yake. ndo shida ya kupeana kazi kiholele kwa kujuana.
ReplyDeletejamani acheni kumuonea kakosa nini? mbona nguo ndefu ya heshima. kwani vitenge ni vazi letu si tumeiga congo na west afrika? kiacheni chuma cha watu!
ReplyDelete