
mwimbaji nyota wa bendi ya inafrika bob ludala akiimba wimbo wake 'nimekuchagua wewe, usiku huu kwenye hafla ya wanawake wa kenya wanaoishi bongo. mlio ughaibuni kaeni mkao wa kula kwani ludala na wenzie pamoja na kikundi cha sanaa za maonesho watafanya ziara ndefu ya ulaya, wakianzia miji yote ya ujerumani. wanaondoka bongo desemba 18
Thanks for information michuzi,Duh! kama wanakuja Germany Nimefurahi, nawasubilia kwa hamu kubwa. Nakumbuka mnoo muziki wa home.
ReplyDeletemimi pia ni mkazi wa Germany nawasubiria kwa hamu sana.Naikumbuka sana ile nyimbo ya nimekuchagua wewe,hiyo ndio favourite song yangu.
ReplyDeleteBOB RUDALA...Ananikumbusha mbali sana...jiji la Manama...Kule Bahrain...Ahsante kwa kunizalia mtoto...Mtoto mwanamke...sikiliza kibao hiki kwa makini utaamini kwamba huyu jamaa ni jinias wa muziki wa kiafrika.
ReplyDelete