bw. mapesa ndani ya nyumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. walau bw.Mapesa amekubali kugombea ubunge na kuachana na ndoto ya ikulu,tunaomba Mrema,Lipumba,etc. nanyi mkagombee ubunge muimarishe upinzani bungeni.Urais muungeni mkono Mbowe tuwaondoe ccm wanaondelea kulindana na kuchukua chao mapema.Sasa nafasi zote nyeti ni za watoto wa vigogo wa ccm.Angalia mtoto wa kawawa,mwinyi,mongella,etc.Tuondoeni uchifu wa ccm unaoanza kunyemelea nchi yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...