Home
Unlabelled
shigongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tuwekee picha za mpambano wa stars na kongo.Pia tupe matokeo.asante
ReplyDeletecongo 0 stars 2
ReplyDeleteNdio Michu pia na kaka Billy sarakikya nae alikuwepo naona anaonekana hapo na miwani ya giza Chelsea 1 arsenal 1
ReplyDeletePombe kweli kitu kibaya.Yaani huyo mdingi pembeni ya Shigongo kachapa usingizi!Ama kweli
ReplyDeleteNaona wadada na wamama hawakuwa haba wala nyuma. Michuzi huyo dada pembeni ya Balozi Kallaghe ni nani?
ReplyDeleteHuyo dada aliyekaa hapo nafikiri ni Mindi Kasiga
ReplyDeleteHuyo dada ana mvuto!!! Watoto wa kisasa wazalendo wa kibongo hao!!!
ReplyDeletehata mimi nahisi ni mindie kasiga, maana ni mwandishi wa habari, nadhani wa ikulu.
ReplyDeleteHata Mimi nahisi ni Mingie Kasiga, maana kasomea mambo ya uandishi wa habari na nadhani anafanya kazi ikulu.
ReplyDeleteMindi alikuwa anafanya BOT lakini sasa hivi nasikia yuko Ofisi ya Waziri Mkuu sijui kazi gani
ReplyDelete