Home
Unlabelled
mkono wa iddi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Karume ana aibu jamani kama siyo MKUU WA MKOA WA TANZANIA ZANZIBAR BWANA vile,ebu muangalie jinsi anashindwa kumuangalia hata usoni Maalim seif
ReplyDeleteAcha mambo ya ajabu wewe kuwa mkakamavu kama wakuu wa mikoa wenzako mzeee!!
We Gegedu post comment yenye point. Sasa kuangalia mtu usoni kuna husiana vipi na picha hii? Pia hii picha ni 'still image' sio video kwa hiyo huwezi kujua kama kuna some point during that incident alimtazama usoni. Tuwe na busara kidogo.
ReplyDeleteNaamini Bwana Michuzi aweza kutupatia picha ambayo Rais karume anamtizama Maalim Seif machoni
ReplyDeleteAcha kugegedua, ndugu yangu. Usisahau kwamba still picture ni instant and static.Zinachukua image katika sekunde moja tu. Kwa hiyo kutumia image hiyo kutoa conclusion kwamba karume ana aibu ni sawa na kuisex/kuidoctor visual evidence.Kuwa msitaarabu, na toa tafsiri inayoendana na uhalisia wa evidence iliyopo. Kama unataka kutoa tafsiri isiyohusiana moja kwa moja na evidence iliyopo, ni busara ukieleza kwamba huo ni mtazamo wako usiohusiana na ushahidi uliotolewa. Na ukiamua kuchukua ushauri huu wa mwisho, ni lazima ujiandae kutetea hoja, maana kama marehemu ze dong wa china alivyosema, bila utafiti, bila ushahidi, huna haki ya kutoa hoja.
ReplyDeleteI wish you happy transformation katika uundaji hoja, gegedu.
huyu gegedu ni mpumbavu tuu, na lengo la ujumbe wake ni kuwachefua wazanzibari. Zanzibar siyo mkoa ni nchi, na watu wapumbavu kama gegedu wanataka tuu kuanzisha chokochoko ili wautie sumu muungano wetu.
ReplyDeletewewe malaya unachotakiwa kutoa hoja siyo kutukana watu mshenzi wa Tabia au unataka vidole vya mkundu bitch cunt!!
ReplyDeleteShika adabu yako siku nyingine usitukane watu usio wajua slut!!
Huyo anonymous kweli ametumia neno kali 'mpumbavu'. Lakini angekuita mjinga bora, maana ujinga ni kutoelewa kitu fulani. Lakini pia wewe Gegedu unaonekana ulistahili tu matusi, japo hapa sio mahali pa matusi. Maana nawe umetukana tena matusi makubwa. Sasa nani mwenye busara hapo. You are worse than the guy above your posting, I guess. Tumeshakujua sasa asili ya tabia yako, ni matusi pia. Nyie ndio Watz wazalendo kweli????
ReplyDeletekuna kazi!!!!
anonymous 3
Watoto wa Wapemba wenye asili ya kiarabu kwa wazazi wakisalimiana.
ReplyDeleteMbona Seif alikuwa hafanyi hivi kwa Raisi Abdul Wakil,na Salmin Amour walipokuwa MARAISI wa Zanzibar? Au kwa kuwa hawakuwa na asili ya wapemba? Ama Kweli wapemba mnajuana kwa vilemba hata mkijifanya maadui mchana usiku mnakutana kwa halua.Ngozi nyeusi tulie tu wallahi!!!
Seif Hamad alimchulia sana weusi kuanzia JUMBE,MWINYI,WAKIL NA SALMIN AMOUR.Alikuwa akiwatukana sana,kuwasema vibaya na kuwaonyesha hadharani ubabe wa kupindukia.Lakini matusi hayo na ubabe huo hajawahi kumwonyesha mtoto wa mama wa kipemba Rais Amani Karume.Kweli wapemba wanaelewana.Hata muafaka sasa kuna uhakika utapatikana.
ReplyDeletehabari yako kaka michuzi, tafadhali naommba unitumie picha ya miss kinondoni namba 3, 2006.ahsante.kazi njema
ReplyDeleteKwa hakika kabisa hii picha imenipa faraja kubwa sana moyoni mwangu, kumbe hakuna lisilowezekana!. Naomba sana waheshimiwa muanzie hapohapo kutuwekea mambo sawa ili tuondokewe na hofu na utata usiokuwa na maana wala faida kwa watanzania.
ReplyDeleteMaalim Seif, ukweli ni kwamba hata Rais Mh. Karume anakukubali, lakini timu unayochezea siyo ya ushindi katu...fikiria Maalim, wakati bado upo.
Gegedu pamoja na Anony mwingine mlotukanana, tafadhali msituoneshe mlivyo mabingwa wa matusi tafadhalini chonde chonde ah hapa si mahali pake.
ReplyDeleteKweli Gegedu Karume ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar
ReplyDelete