mh. amina na medi mpakanjia wakipiga soga na wageni wao nyumbani kwao sinza leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Kulikuwa kuna shughuli gani hasa hadi wakaalika wageni wote hao?

    ReplyDelete
  2. inaelekea michuzi upo karibu sana na hawa ndugu... manake kila wakiwa na mnuso wee hukosi.. haya bwana hongera

    ReplyDelete
  3. Tanzania inafurahisha sana ...

    ReplyDelete
  4. hii blogu imekua ndio albamu yao nini? maana yake sasa sisi au mtanzania mwingine yoyote hii inamhusu nini? come on now!!

    ReplyDelete
  5. MICHUZI SI KIBARAKA TUUU!!!

    ReplyDelete
  6. yaani kwa kifupi nyi watu hamuelewi hivi vimtu vikitaka kujua status yao kwa kipindi kinachohusika ikoje ktk jamii basi michuzi ndio anawapimia kupitia web yake maskini.....inatia uchungu kwa watz kumchagua amina eti kuwa mbunge wao ambaye hajiamini mpaka leo anatafuta kujua nani anamwonanye au mwongelea vipi na vitu kama hivyo INASIKITISHA SANA ningemwona wa maana sana kama angekutumia michuzi kupata michango ya mawazo au malalamiko ya vijana,AMINA /MPAKANJIA KUENI JAPO KIDOGO HATUENDI HIVYO ISHINI MAISHA YENU JAMANI MNA FAMILILIA MTOTO NDIO ANAKUA HIVYO MNATAKA AJIFUNZE NINI TOKA KWA WAZAZI WAKE?

    ReplyDelete
  7. Amina Chifupa hakuchaguliwa na wananchi wa Tanzania! Yeye ni mbunge kupitia viti maalum! Upo hapo?

    ReplyDelete
  8. i guess poor amina is trying too hard to get.

    pata picha kwamba.....kila mwanasiasa bongo, kikwete, mrema et al, angekuwa ana-sort family problems kupitia vyombo vya habari au blogs....mimi kichaka cha siasa nakanusha kwamba mama watoto juzi alininyima unyumba!!

    nadhani kwa watu makini, amina is just a timid publicity-hungry woman.lakini hii ndiyo reflection ya mawazo ya watanzania waliomchagua, waliompigia kura - hivi hakuna wanawake wengine wanaoweza kutumia muda wao kushughulikia matatizo ya jamii badala ya jamii isikilize shida zake za kifamilia na kindoa?

    angekuwa mwanamuziki au muigizaji ningesema hii ni hollywood style, fine, lakini this is too much.

    michuzi let me address you personally, it's your blog.at the end of the day, your audience will judge you kwa kile unachoweka humu.
    lazima uwe na editorial control.

    ReplyDelete
  9. Ama Kweli Wa-Bongo hatujali Muda. leo ni siku ya kazi.., hili kundi lote limetoka wapi?? tena kwa ku-browse haraka haraka wanaonekana ni warembo wa Haja!...
    inabidi Mbunge wa Vijana aelimishwe kuhusu swala la watu kufanya kazi badala ya kukaa bure na kutanga tanga. inanisikitisha zaidi ninapoona kuwa Huyu Mheshimiwa kaandaa shughuli hii leo siku ya kazi. inaonyesha ni jinsi gani mheshimiwa huyu alivyozungukwa na watu ambao wapo wapo tu, kaazi kweli kweli....
    michuzi tumekusifia na sasa naona unaanza kulitia Maji...

    ReplyDelete
  10. Nilisema muda mwingi Nchi inaelekea pbaya kama wabunge wenyewe ndio hawa basi tumeishiwa. Bora muimba taarabu awe mbunge

    ReplyDelete
  11. Jamani we are tied of Amina huyu dada ni mpuuzi mjinga mpumbavu sijawahi kuona!!!!!

    Tumemchoka Amina yaani , yaani sijawahi kuona mdada mjinga kama amini. Sasa mumewe nahisi ndio bogas kabisa.

    Ila michuzi naona nawe umeshaanza kuwa mswahili , umeanza kuwa na zile tabia za kishenzishenzi.

    ReplyDelete
  12. we Michuzi na wewe ni Mfanyakazi wa taasis ya umma (gazeti la dele-nyuzi), ulipata wapi muda wa kwenda kuhudhuria hii sherehe isiyokuwa na kichwa wala miguu ktk siku ya kazi?????
    hapa na mimi naanza kuwa na mashaka na utendaji na utumiaji wako wa muda wa kazi. ukiwa safarini poa, lakini hapa home inabidi uwe kazini.. inakuaje unakuwa sinza kwa Mpakanjia na Amina. chunga ajria yako brother, wana-blogu wanaweza wakakuhukumu...

    ReplyDelete
  13. Jamani, Michuzi si mwanahabari! Kwahiyo ni wajibu wake kuzunguka mitaani akitafuta habari. Hivi mtu unaweza ukaandika habari ukiwa umekaa tu ofisini eti unasubiri habari ikufuate?
    Nyie mnataka awe kama yule mwandishi wa habari wa zamani wa New York Times, Bw. Jayson Blair aliyekuwa akitunga habari na kuchapishwa!
    Michuzi, chapa kazi. Hawa watu nadhani hawaelei fani ya uandishi wa habari.
    Lakini tafadhali nakusihi upunguze picha za hawa jamaa zako AC na Bw. Medi. Kwa kweli tumewaona vya kutosha. Mimi binafsi naona kwa mwaka huu tosha. Au unasemaje ndugu Michuzi?

    ReplyDelete
  14. Jamani tuwe wastaarabu. Hii Blogu kaianzisha michuzi. Kama unaipenda, endelea kusoma na kuchangia. Kama kuna habari au picha hujazipenda toa feedback kistaarabu. Haya mambo ya kuitana vibaraka,waswahili, wash**** etc. ni kukosa ustaarabu. Namjua Michuzi kuwa ni mstaarabu ndiyo maana hatoi majibu kwa matusi yaliyomo humu. Ndugu Anonymous wa saa 9:54:34,A.M. lugha yako si nzuri. Kama umekereka kiasi hicho achana na Blogu ya Michuzi!!
    Bw michuzi, kwamba Amina na Medi wako pamoja ni news - baada ya kuwa wameandikwa sana kwenye 'tabloids', lakini picha zimekuwa nyingi, kama alivyosema anonymous wa saa 2:26:44 PM

    ReplyDelete
  15. BASI KAMA NI MWANAHABARI MBONA HABARI ZAKE ZINAMLENGA MHESHIMIWA MBUNGE MMOJA TUU INA MAANA HAO WENGINE HAWANA ISSUE KABSAAAAAAAAAAAAAA AU??? AU HUYU KWA KUWA NI KIJANA MWENZIEEE??? AU NDO MASWALA YA KUJUANA NA MPAKAROAD....

    MI NAJUA BONGO ISSUE KIBAO HATA KAMA NI ZA KIDAKU KAMA HIZI LAKINI ZINGEVUTIA ZAIDI KULIKO KILA MARA AC NA MPAKABARABARA TUUUUUU TENA PERSONAL BORA HATA ILE YA KUWAFICHUA WANADEAL UNGA WENZAO... HATA KAMA HII BLOGU NI YAKE LAKINI SISI SI NDIO WADAU WENYEWE????

    ReplyDelete
  16. Michuzi weka picha za maana humu....Picha zako nyingi hazina kichwa wala miguu humu. Hazina maana hata kidogo, na inasikitisha kwamba una-cheo cha mpiga picha mkuu wa gazeti la serikali.
    Kusafiri kote na watu wenye elimu na maendeleo unaokutana nao bado haujaacha Uswahili, na ushamba?

    ReplyDelete
  17. Guys kama hamtaki kumuona Amina & Meddy hamjalazimishwa kuangalia,ndo maana hata kwenye jamii kuna vitu mchanganyiko ili watu waelewe in & out ya kila kitu...sasa nyie mkiwekewe vitu vya maana{"MNAVYOSEMA NYIE"}ukienda kwenye Comments unakuta ni "ZERO"["0"].....sasa kwanini kwenye hizo issue ambazo mnaziona ni za maana kwenu mbona hamzitolei maelezo?????
    Kama unataka kuingia kwenye blog ya Michuzi INGIA,kama hutaki GET LOST----Hujalazimishwa bwana
    Na kama Amina mie namfagilia coz ana-DARE!!!!!simjui Amina na wala hanijui ila toka uongozi umeanza kuna Kiongozi gani aliejitoa mhanga kuzungumzia suala la madawa ya kulevya,na hao wote wameenda shule na wana vyeo je kuna kiongozi hata mmoja aliesimama na kuongelea jambo hili kiunagaubaga??????msiwe mnalalamika just because ni Amina na mmezoea kumuona kwenye magazeti kila mara ndo mkamu-UNDERGRADE.
    Mpeni respect yake kama nyie mnavyopenda mpewe RESPECT

    ReplyDelete
  18. Michuzi, naanza kuoata hisia tofauti kidogo, inawezekana wale wote ambao wako negative na Amina & familia yake huenda ni wauza unga au watumiaji wake. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu anaweza kutoa maneno ya ovyo yasiyopendeza kwa Mh. Amina na familia yake. NARUADIA na nikiungana na wale wenye mapenzi mema na blogu hii, tupunguze WIVU wa kijinga, JAZBA isiyokuwa na maana. Vilevile NARUADIA kama blogu hii haikufurahishi si vema ukaanza kumtukana Michuzi. Mimi binafsi ninamkubali ndiyo maana leo nimeweza kupata jukwaa la kuwasiliana na watu wengi kutoka pembe zote za dunia. majukwaa yapo mengi lakini hili la michuzi ni la aina yake ndiyo maana mimi na wewe leo tunazungukia humu. Kila kheri Michuzi, tuletee picha zaidi ikibidi hata za mh Amina tena na tena.

    ReplyDelete
  19. WAACHENI WAKIKUA WATATULIA NI UTOTO UNAWASUMBUA. NI MBAYA SANA KAMA MAMA AKIFANYA MAMBO YA KITOTO (UBISHOO)MAANA BABA HUWA NI WA KUFUATA MKUMBO TU.BABA KWENYE MAPENZI UKIMPATIA UNAWEZA HATA KUMVALISHA CHUPI KICHWANI AKAONA SAFI MKE WANGU.

    ReplyDelete
  20. we isaac,
    kuwa na adabu na chunga maneno ya kinywa chako...
    nani aliyekwambia eti wote walio negative na amina ni wauzaji na watumiaji wa unga? acha upumbavu wewe!!!
    elewa kuwa, katika jamii huwezi kupendwa na wote na wala huwezi kuchukiwa na wote.
    suala la watu kuwa negative na amina halikuanza baada ya ajenda yake ya kutafuta umaarufu kupitia sakata la dawa za kulevya.
    watu walikuwa wakimchukia hata kabla ya hapo na hivi sasa tabia yake ya kimbelembele, uropokaji na kutokuwa na maisha binafsi (domo nje) ndo yanasababisha hata wale waliokuwa upande wake, kuelewa kumbe ni kiazi!!
    imeshasemwa mara nyingi tu kuwa huyu mwanamke anatafuta publicity...ni nani katika maisha haya ambaye hana personal life? nani? ni nani ambaye anafurahishwa na kila jambo linalotokea katika maisha yake kuwekwa hadharani? nani? definetly, ni wachache mno-kama wapo lakini- ila mimi naamini, hakuna.
    hata hao viongozi wanaopenda sifa, huwa wana maisha yao binafsi ambayo wasingependa watu wayafahamu.
    Juzi juzi tumesoma kwenye magazeti kuwa amina na meddy washerehekea miaka 6 ya ndoa yao- ukijaribu kutazama kwa makini hutaweza kuamini kwamba huyu ni mwanamke ambaye amekwishakaa kwenye ndoa kwa muda huo; maana mambo anayoyafanya bado ni ya kitoto na ya kipumbavu- uswahili umemjaa mpaka kwenye chupi...nini hii maana yake? hivi hana kungwi wala nyakanga huyu? mbona anajidhalilisha na kumdhalilisha hata mama yake mzazi ambaye mimi naamini ni mama mwenye kujiheshimu tu?????
    why you amina, why?? hujui kama unaboa? hujui?
    wewe si unapenda kuweka mambo yako yote hadharani? ieleze jamii basi kuwa ilikuwa chupuchupu kufumaniwa na mumeo kule hotelini kwako dodoma ulipokuwa ukifanya uzinzi wako na mh. makongoro mahanga!!eleza, wewe si msema ovyo...au tuambie basi, ulivyofumaniwa na mumeo kule arusha mpaka ukatwangwa talaka moja uliyoigomea kwa kwenda kulia kwa mama mkwe wako kule temeke..eleza mama, wewe si unajua kuji show off...
    kwa kweli unakera kishenzi,tena unaboa..
    badilika bwana, jaribu kuwa na maisha ambayo ni ya kwako tofauti na kazi zako zinazokufanya kuwa mbele ya jamii. kwani una sababu gani hasa za msingi za kutoa mapicha yako gazetini eti ukulishwa keki na mumeo kwa kusherehekea miaka sita ya ndoa yenu? au kuna haja gani ya kuplicize eti mtoto wako katimiza miaka mitano?? what's the use? kwanza elewa kuwa unaanza kum expose mtoto kwenye media kutokana na upuuzi wako na impact yake hapo baadaye anaweza kuja kukulaumu- ona mwisho wa princess diana ulikuwa nini- hayo ndo matokeo ya kupend kuwa centre of attention and media catch up-ingawa najua diana hakulipenda hili..
    ni mengi ya kukushauri lakini ni juu yako kuchukua lililo la muhimu kwako.......

    ReplyDelete
  21. huyo aliyevaa nguo yenye mistari ya bluu bluu nadhani ni nargis mohamed-aliyekuwa miss dar city centre na demu wa kipanya- na huyo mwenye kilemba cha pink ni monalisa- aliyekuwa mke wa george tyson, ambaye nimepata taarifa kuwa wametengana.

    ona hawa wanavyojua kuishi, personal issues zao ziko very personal. angekuwa ni huyo taahira amina basi ulimwengu mzima ungejua kuwa kaachika... jamani mwanamke anapenda sifa huyu,kha...
    arudi shule, maana elimu nayo ni one of the agents of socialisation that in one way or another help and shape a person to behave in a more civilised manner-rudi shule amina- bado uko mdogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...