waziri wetu mkuu mstaafu cd msuya akiondoka neshno, nyuma yake akiwa jaji mkuu mh. samatta, waziri kiongozi mstaafu dak. gharib bilal na msaidizi wa mh. samatta, bw. wambali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. msaidizi wa bw samatta anayeonekana ni bw wambali

    ReplyDelete
  2. Mzee Samata na familia yake nawasifia kitu kimoja. Humility/humbleness, nikisema hawana makuu naona kama ni understatement. Lakini nimenotice kitu kimoja, simwoni kwenye dhifa za kitaifa na mkewe, kulikoni/

    ReplyDelete
  3. Anonymous wa Sunday, December 10, 2006 8:44:46 PM: Pengine humility/humbleness hiyo ni hulka ya Wasukuma!

    Now I am being curious: Kwenye u-Jaji Mkuu, Jaji Mkuu Mark Bomani; Bomani kamwachia Francis Nyalali; Nyalali kamwachia Barnabas Samatta (wote Wasukuma)!

    Kwenye u-Atoni Jenero: Mark Bomani kamwachia Joseph Sinde Warioba (yeye ni Mwikizu); Sinde kamwachia Barnabas Samatta; Samatta kamwachai William Sekule; Sekule kamwachia Andrew John Chenge 9wote Wasukuma; Chenge kamwachia Johnson Paulo Mathias Mwanyika (sijui anatoka wapi). Mind you, msaidizi wa Sekule alikuwa Msukuma mmoja Massaba (marehemu)akisaidiwa na Chenge!Sio ajabu Massaba angekuwa Atoni Jenero kumfuatia Sekule na kusaidiwa na Chenge!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...