Home
Unlabelled
musoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hamjamboni, wakina mura na bhakari na wakina yego na yebhe (myamba ya Musoma)!
ReplyDeleteSasa sikirizeni: Rakini hako kakiwanja ka ndege, kanafaa sana katorewe na kajengwe mbari na madhari ya mji! Manake kuna siku ndege inaweza ikashidwa kutua au kuruka na kuvamia nyumba ya arasii au inaweza kushindwa kutua na kuvamia kituo cha ffu!
Michuzi nimefurahi sana nimeona huo mji wanaotoka wazazi wangu kutokea huku ugaibuni. Kazi nzuri......
ReplyDeleteHarimashauri ya Mji wa Musoma nayo iangarie sana hako kabwawa ka Chitaji (Kitaji)!
ReplyDeleteKa-bwaha hako kako sawa na usawa wa ziwa. Ni kazuri kama kangegeuzwa kuwa bustani ya miti ya kivuli na maua kwa mabata maji na wana-Musoma kupumzika.
Rakini kanataka kusafishwa sana. Kwani kanatoa harufu mbaya (unbearable stench smell) kwa sababu taka zote za mjini na zile za hospitari zirikuwa zinatupwa humo na ziriozesha ka-bwawa hako. Kusema kweli ki-afya, ka-bwawa hako kamekuwa kondemdi kuwa hazadasi kwa afya!
Enzi za miaka ya late 1960s harimashauri ya mji iririma mtalo wa kuondoa maji hayo na kuyaelekeza ziwani. Rakini wana-mji warisema kuwa maji ya ziwani ndiyo yaliokuja ndani ya ka-bwawa hako.
Sasa kwa kuwa kina cha ziwa kimeshuka sana, pengine wakati huu ndio mzuri wa ku-drain ka-bwawa hako na kukasafisha safisha kuwa bustani.
Kwa makusudi, naomba sehemu ya habari niliyotundika hapo juu:
ReplyDelete...harimashauri ya mji iririma mtalo wa kuondoa maji hayo na kuyaelekeza ziwani.
Isomeke:...harimashauri ya mji iririma mtaro wa kuondoa maji hayo na kuyaerekeza ziwani.
Sehemu kubwa ya mbuga za wanyamapori Serengeti imo mkoani Mara! Kwa nini mji huu usiendelezwe kuwa kituo maalumu cha watalii wa Serengeti? Je kuna haja ya kutua Nairobi au Kilimanjaro kuona Serengeti?
ReplyDeleteZamani kulikuwa na ad moja huko Kenya iliyokuwa ikiita: Visit Kenya to See Kilimanjaro! Kana kwamba Kili ipo Kenya! Of course, ukiwa hata Nbi, on a clear day, unaweza kuona Kili.
born again pagan punguza bangi!!! umeniacha sina mbavu, saramu sana kwa Mecha Chenerooo Chacha......!!!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteAsante kwa hii picha ya nyumbani.
Anonymous wa Sunday, December 03, 2006 5:21:32 PM, mimi sivuti bangi!!! Incidentari, Wa-Jamaika huriita ganja na kwetu tunariita injaga. Bangi kwetu mwiko kwa vijana. Kijadi huko kwetu nirikotoka bangiNi kwa wazee wanaume wakongwe tu wakati wa arasiri. Huwa wanariweka ndani ya kiko cha kienyeji kirichowekwa ndani ya ka-kibuyu chenye maji, na kurivuta: KOROOOOOOOOOOOOOOO! Harafu watoa moshi nje. Na kurivuta tena KORRRROOOOOOOOOOOOOOOOO! Wakitoka hapo wanakwenda kutayarisha mahari pa kurima asubuhi yake. (CHEKA)!
ReplyDeleteArakini wataaramu siku hizi wanasema bangi rinakausha mwiri, kama brichi! Mvuta bangi anazeeka upesi upesi kwa kuwa seri za mwirini hufa bira kuzijenereti!
Nakuomba na wewe bangi riwe mwiko kwako!
Naona barabara ya kwenda Mwisenge hadi Makoko! Hiyo nyingine kuelekea Mugango! Uwanja wa Ndege, Mlima Mukendo, Barabara za Nyerere, Mukendo/Old Custom, Kusaga, Rutiginga, Nyabukika, Mwigobero, Kambona; mashini ya kuvuta maji, Sokoni/Basi Stendi, Jengo la Benki ya Biashara...and, of course, na mengine mengi, mengi tu!
ReplyDeleteSensera Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kitenge cha Sikukuu oyeeeeeeeeeee! Hivi wana-Sensera waliishia wapi?
Yule Mzee Andoro? au Angoro? wa:
Kilimanjaro!
Mlima mzuri! Yuko wapi siku hizi?
Najua marehemu Mzee Misiani wa Benga Blasti ya Kenya alikuwa akitokea Mkoani sehemu za Shirati.
Ni yule yule, Born Again Pagan, akitua nanga kwa sasa, na kuwaageni: PEACE!