penye njenje pana mduara. kaka kibodya huko bukoba upoo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michu:
    Ni Jumamosi asubuhi na huku kwetu ni baridi ya ajabu, naona faraja kuu kutukumbuka kwa mduara na hususan picha ya maswahiba! Much love!

    ReplyDelete
  2. Shikamoo dada Zeana(Mwenye viwalo vyeupe),mabo ya Kinondoni mkwajuni hayo,Nakupa hi kutoka majuu.

    ReplyDelete
  3. Miduara hii siku ya "miwaya day" tutapona kweli ? mwenyenzi Mungu tunusuru

    ReplyDelete
  4. Yani waswahili watupu ei hi kutoka majuu, wakati una teseka na u CNA huko

    ReplyDelete
  5. Alamasabakitani!

    ReplyDelete
  6. Michuzi umechapia kibodya hatoki bukoba yeye makazi yake huko Springfield ndo ilipo ngome yao 110 miles west of Boston

    ReplyDelete
  7. Michuzi,

    Mduara na 'Butt Slapping' ni Mduara kweli?

    ReplyDelete
  8. bukoba-boston
    tukuyu-tokyo
    newala-new york
    lilongwe-london?
    irressponsible creativeness?

    ReplyDelete
  9. ‘A consistently highly creative person is generally irresponsible.’

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...