watu walikuwa nyomi neshno kwenye sherehe za uhuru leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wamekula matunda ya uhuru na kunona!

    ReplyDelete
  2. Mstari wa mbele kulia namuona Prof Simoni wa Mbilinyi (waziri wa fedha m-jiuzulu); nyuma yake namuona Nehemiah Kyando Mchechu (CEO-United Bank of Africa), pembeni yake ni Ptrick Mongela (Director of Operations; Public Service Pensions Fund- PSPF), pembene yake ni Paul Makanza (Corporate Affairs Director - Tanzania Cigarette Company), pembeni namuona Mh Peter Serukamba (Mbunge wa Kigoma mjini - kiboko ya Kabourtou), na juu yake ni Dr Charles Kimei (CEO _ CRDB Bank)! Kweli Uhuru mtamu! Wamejipanga sijui hata wanajua kama kuna shida ya umeme!

    ReplyDelete
  3. Huyu Serukamba alikuwa hapa CANADA miezi kama 2 hivi.Katia aibu saana hapa.Yeye anadhani kila muuza baa ni malaya kama huko.Chupuchupu alale ndani!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...