sherehe zimeturudishia michezo ya halaiki tuloishaisahau.
+

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nice job mama wa elimu lakini sijaelewa nini tamati ya syllabus ya somo la siasa.

    katika research ambazo sio rasmi zilizofanywa na asasi moja wapo hapa nchini jina naweka mfukoni, zinaonyesha watoto wengi hawaelewi nini tanzania na hata pia umuhimu wa wao kuwapo tanzania ....je unafanyaje kuhusu hili suala?

    mie nazungumza kuwa uoni umuhimu wa kurudisha somo la siasa kwa watoto wazuri wa tanzania ijayo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...