vijana wetu chini ya umri wa miaka 17, wakitroti kabla ya mechi na zimbabwe mjini bulawayo. eti jamani...kuna aliezidi umri hapo kweli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapo wengine wana wake wawili wawili. wambura alitaka kutuharibia soka. yule Kijana waliemshitukia baada ya mechi hii alizaliwa 1983, wambura kwa kumpenda akabadilisha 3 ili ionekane 8. siwezi kuelezea kwa hizi harufi za Kompyuta lakini ni vijeba. Mwingine ambaye yuko U-20 lakini namfahamu fika kuwa ni kijeba ni Bantu Adimini. najmfahamu sana tu kwao Mbeya hapa. Hapungui 25. Hivi uongo utatusaidia nini?

    ReplyDelete
  2. bro misup, ww unawajua wabongo vizuri, tuna miili midogo lakini umri mkubwa, wote hao ni vijeba sizani kama kuna mtu mwenye miaka chini ya 22 HAPO.hapo kuna mchezaji anaitwa WANCHOPE alikuwa ana miaka 25 kipindi hicho. Soka bongo aliendelei kwa mtindo wa kubebana tubadilike viongozi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...