
haya ni mafuvu ya dinosari ambayo jamaa waliyachapa kule Tendaguru, karibu na Selous, mkoani Lindi. soma latest yake hapa chini..
On 25th April 2005 at 10.00am the Research Casting International from Canada began demounting the dinosaurs in the Museum für Naturkunde, Berlin.
The Tendaguru dinosaurs, one of the oldest and most important dinosaur exhibitions anywhere in the world, will be demounted over the next few weeks and go into storage and conservation for the next couple of years.
A new exhibit featuring the Tendaguru dinosaurs will be opened in the same hall in 2007.
Nashangaa hakuna mtu aliye-comment. Hivi jamani hatuna uchungu na vitu vyetu, wengine wanatengeneza hela, na kupata maarifa, siye tunaishia kungalia hao wanyama kwenye luninga (na hapo kama unayo nyumbani)...ndo yaleyale ya tanzanite, inapatikana bongo, ukiuliza wabongo wangapi hata wanajua inafananaje, mimacho inatutoka!
ReplyDelete