wanakikundi cha matarumbeta cha usambara wakikaribisha viongozi toka nchi mbalimbali afrika walioalikwa kwenye sherehe za miaka 45 ya uhuru ambazo zinaanza rasmi usiku wa manane leo bustani ya mnazi mmoja gaden na kufikia kilele kesho uwanja wa neshno stediumu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Pigeni tu matarumbeta jamani, why not? if only Nyerere was still alive, he will always be missed. God rest his soul in peace. Mungu ibariki Tanzania, tuendelee kudumisha amani na upendo. Ndio, bado tuko nyuma kimaendeleo lakini Mungu ametubariki na amani, and someday if we all work hard we will get there. LOVE YOU TANZANIA!!

    ReplyDelete
  2. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.HAWA WANAOPIGA MATARUMBETA NAWAAMINIYA.HONGERENI SANA KATIKA SIKUKUU YETU YA UHURU.

    ReplyDelete
  3. Ho! Huyu mpiga tarumbeta aliyejiangusha chini namuonya akienda Zanzibar asijiangushe hivyo kuna wanaume kule wanafanya watu vibaya wanaOjiangusha hivyo.Huu ni ushauri wa bure simdai hata shilingi.

    ReplyDelete
  4. Mmeona kiatu cha huyu anayepiga tarumbeta huku akiwa amelala chini, kiatu ni disaini ya mdomo wa samaki, hongera sana aisee, hii disaini hata ulaya havijafika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...