mh. lowassa na mama jk wakiwa na wageni waliohudhuria sherehe za uhuru neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. huyo mwarabu ni nani?

    ReplyDelete
  2. Huyo alitambulishwa kama Rais wa Comoro.

    ReplyDelete
  3. Wengine wote wanapiga makofi. Sijui ni kitu gani hakimfurahishi huyu Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi wa Komoro aliyekuja "na lifti yetu"! Labda, kuna kitu fulani kinacho-boggle mind zake.

    ReplyDelete
  4. Labda kupiga makofi sio utamaduni wake. Si lazima kila kitu kupiga makofi.Unapiga makofi hata kama kwa kufuata mkumbo ili mradi nawewe uonekane umepiga.

    ReplyDelete
  5. anapigia mahesabu mbuzi na ng'ombe zetu jinsi ya kuwabeba! Nasikia bei ya nyama mjini imepanda kwa sababu yake na team yake, wamewazoa wengi kwenda nao comorro.

    ReplyDelete
  6. Ikifika Moroni, uliza "Ayatollah" ni nani...utambiwa Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...