Home
Unlabelled
wageni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo mwarabu ni nani?
ReplyDeleteHuyo alitambulishwa kama Rais wa Comoro.
ReplyDeleteWengine wote wanapiga makofi. Sijui ni kitu gani hakimfurahishi huyu Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi wa Komoro aliyekuja "na lifti yetu"! Labda, kuna kitu fulani kinacho-boggle mind zake.
ReplyDeleteLabda kupiga makofi sio utamaduni wake. Si lazima kila kitu kupiga makofi.Unapiga makofi hata kama kwa kufuata mkumbo ili mradi nawewe uonekane umepiga.
ReplyDeleteanapigia mahesabu mbuzi na ng'ombe zetu jinsi ya kuwabeba! Nasikia bei ya nyama mjini imepanda kwa sababu yake na team yake, wamewazoa wengi kwenda nao comorro.
ReplyDeleteIkifika Moroni, uliza "Ayatollah" ni nani...utambiwa Rais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi!
ReplyDelete