Home
Unlabelled
watoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo wa kike ameolewa au nitarudi bongo kwa ajili yake.
ReplyDeletembonba wame nuna hivyo..au jua lilikuwa kali!!
ReplyDeletemiraji kikwette mbona huwa atumwoni kwenye picha..au ndo.....
ReplyDeleteMH KUMBE jK ana watoto wakubwa hivyo.wazuri wana mvuto!alishawahi kuoa tena?Salma ni mke mdogo?
ReplyDeleteHuyo wa kwanza kushoto kafanana na Mahita!
ReplyDeleteAna watoto wengi, utadhani zile enzi za kale watu walivyokuwa wanazaa watoto 10. Hapo wengine hawapo kwenye picha
ReplyDeleteHuyo Dada Mweupe ni Salama Kikwete. Kasoma Kifungilo, ana akili kweli atafika mbali bali ya baba yake kuwa Raisi. Tena hana maringo wala majivuno kama mtoto wa mlalahoi tu.
ReplyDeleteWatoto wazuri kweli hawa na wanaonekana watulivu tu. Ana watoto wangapi raisi wetu?
ReplyDeleteSamahani kwa wale wanomjua vizuri rais wetu naomba msaada wenu, mnaweza kunieleza ana watoto wangapi jumla, na je wote ni wa Salma Kikwete (yaani mke wake tunaemuona nae siku hizi au?) kwani najua wattoto kama Ridhwani na Miraji hawajaonekana hapo kwenye picha pia.
ReplyDeleteJumla yao wako 8 kutoka mama tofauti tofauti
ReplyDeletewewe anoy wa Tuesday,Dec 12 3:45:46 unayesema mtoto wa Kikwete anafanana na Mahita ninakujua vizuri sana.Wewe ni mtoto wa Mahita kabisa. Kama unabisha na kama kweli umedhamiria kujua ukweli kuwa wewe ni mtoto wa mahita nakushauri usimmuulize baba yako muulize mama yako mzazi atakuambia kila kitu yeye ndie anajua alikupatia wapi.
ReplyDelete