kocha jack chamangwana akiwa na vijana wake wa jangwani leo uwanja wa karume. nasikia kaunda kumejaa maji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sii utani hilo chama langu la kufa na kuzikana mzee michuzi!
    ila huyp 14 ni thomas mourice au abuu ntiro? huyo wa kushoto hata sijuii ni nani,michuzi nipe details, sii unajua tena watoto wa jangwani wanavyotisha???

    ReplyDelete
  2. tupicha kama hutu tunanikuna-ga kwelikweli. Mnyaazi akukumbsha-ge kutupost kila siku siku. I know you know what I mean.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...