Salaam !

Vp nimeona kwa wenzetu walioko sehemu zingine si vibaya kushea picha hizi huenda siku moja wakavutiwa kuja kuona mambo haya adimu kwingine. Hiyo ni ICE VILLAGE kaskazini mwa Uchina, yaani kjj chote kimejengwa kwa barafu.

G.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. thanks for keeping us posted on what goes on in other countries. its part and parcel of learning huwezi jua, bongo sikumoja inaweza ikawa hivyo tukapata watalii kibao from europe and africa as well. Keep us posted na other good pictures kutoka huko. wish u all the best ila kumbukeni kurudi kulijenga taifa letu....
    NB: Michuzi hii blog yako itanifukuzisha kazi, i just cant help myself kuiangalia when i get to the office. Ha ha ha... good work and keep us posted...

    ReplyDelete
  2. joan unapaswa ununue kompyuta nyumbani kwako kabla ujapoteza hiyo kazi!

    ReplyDelete
  3. Wee Joan unasema utafukuzwa kazi. Wenzako tutaachika.Siwezi kwenda kulala kabla sijapitia hii blog ya Michuzi nione nini ametuwekea leo. Saa nyingine nakaa nasoma hours at a time.

    ReplyDelete
  4. MICHUZI BASI FUNGA HII BLOG, MAANA YAKE NINI TUNATOWA MAONI YETU HUYATOI HAPA?

    ReplyDelete
  5. Close It.

    Michuzi I agree with the comments above that if you are not willing to publish other people's contributions on this blog you better close it down. It is a bad reflection on your part as you let some 'pumba na matusi'to appear on the blog; while more cogent arguements you give them a
    miss!

    Otherwise, I still enjoy your blog and a day never passes without me having a gander into it.

    ReplyDelete
  6. Exactly, I still enyoy your blog, am in Vancouver, but never pass a day without me loging in kwasababu najuwa kuna vitu vya kuburudisha humu na baki ya hiyo, ni kwamba inaaminika kabisa kuwa habari zinazopatikana katika blog yako hii ni za uhakika, wananchi wanaingia kutoa ukweli hapa. kwa mfano kuna c.v ambazo zilitoka hapa kwenye blog yako mwaka jana, kwakweli kuna watu nawafahamu na nilisoma nao, kilakitu kilichotolewa ni ukweli mtupu, ndio maana unaheshimika kwa habari nyeti hapa, mpaka watu wana copy-paste na kurusha kwenye blog zao.
    Ila inaonekana unachagua maoni mengine hutoi, nakubaliana na wananchi wengine hapa. kama nchi zote zilizoendelea watu hupewa freedoma of speech, na wewe ni msomi na journalist unayeheshimika,
    you should know beter.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...