Home
Unlabelled
dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli nimekubali 'mipesa'dar sasa kunapendeza,lakin nadhani ni baadhi ya sehemu.
ReplyDeletepanapendeza, naona baba askofu kadinal pengo ameamua wapake rangi hiyo GADENI...
ReplyDeleteNI KIJANI KWA KUWA MVUA ZIMENYESHA ,USINGALIE MITI TUU ANGALIA NA MAJANI PIA . KAMA HAKUNA MVUA HAKUNA UKIJANI.
ReplyDeletehiyo rangi imepakwa na benki ya makaburu,NBC LTD.Lakini hiyo miti imepandwa sehemu chache tu za mji mr michudhi,tembelea maeneo mengine kama magomeni,ilala,upanga,kariakoo,buguruni na maeoneo yote yenye msongamano wa makazi utaona ni miti michache tu.Nadhani tungeweka sheria ndogondogo za kuwataka wenye nyumba wapande miti na kama zipo basi vyombo husika vizisimamie kwa umakini sana.Pia turekebishe ramani za maeneo hasa yasiyojengwa bado ili makazi yasiwe pua na mdomo na barabara ili hata hiyo nafasi ya kupanda miti ipatikane mbele za nyumba.
ReplyDeleteMICHU asante kwa kuweka picha hii!
ReplyDeleteKWeli Dar kuna mvuto. Swali langu ni kwamba ukijani huo utadumu hadi lini? Watanzania hatujambo kwa kuanzisha vitu, il kuviendeleza ndio ishu. Nakumbuka kuna kipindikingo za barabara ya Morogoro zilioteshwa nyasi hasa pale eneo la Manzese. Muda si muda, zilikanyagwa na kufilia mbali. Sijui watu wengine hawavutiwi na ukijani huu loh!
Hebu tujenge mazoea ya kutunza mali hata kama haitoki mifukoni mwetu
it's impressive, ila ondoeni yale matwiga ya plastiki yaliyo mjini; moja karibu na posta ya zamani, nyingine iko pale Red Cross, nyingine mikocheni baada ya shoppers etc. Hayapendezi na yanatisha.
ReplyDelete