kepteni mstaafu eugene maganga akitangaza kujitoa chadema na kujinga ccm leo. yeye alikuwa mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama hicho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu mzee maganga kwa hali halisi ya mavazi na appearance yake inaonekana ana njaa mno.

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa karudi nae? kule wanaahidiwa nini.Sio bure!.Huyu jamaa nilikuwa nasoma sana makala zake kipindi fulani kuhusu yeye na serikali ya awamu ya kwanza.

    Utamsikia Mkuu wa wilaya

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa alishiriki ktk jaribio la kumpindua mzee kifimbo (Mwl. J. K Nyerere) mwaka 82. Alisota sana lupango kwa soo lake hilo. Ktk hilo soo alikuwa sambamba na makomandoo kama akina marehemu Tamimu na masoja wengineo. Nilifuatilia sana issue yake ktk gazeti la Rai one time. Sasa tusubiri jamaa kupewa ukuu wa wilaya.

    ReplyDelete
  4. Hawa wote ni waganga njaa tuuu

    ReplyDelete
  5. WANA MARUMBANO.
    Mwana siasa ni mtu anayejua itikadi na maadili ya chama chake ,mtu anazaliwa mpaka anazeeka kwenye chama hao ndiyo wanasiasa.lakini hao wa kwetu ni wababaishaji wanatafuta maisha siyo wanasiasa ndiyo maana leo huku kesho kule ...ukimuuliza tofauti ya programa ya chama (A na B)ni ipi ni wanasiasa wachache Tanzania wanaweza kukupa jibu.Ndiyo maana chama X kina shinda kwa asilimia kubwa sana.Jamaani Tanzania opposition parties is just formalities we dont have stiff political competition (mrumbano wa kisiasa upo kwenye establishment level)ndiyo maana kila baada ya miaka mitano kuna tokea vyama vipya vya upinzani vya zamani au vinaishiwa nguvu au wakati mwingine vinakufa kabisa.Thanks very much blog author.
    Doctor.

    ReplyDelete
  6. kapteni Maganga yupo wapi Chris Kadego na Badru Rwechungura Kajaja, stori yenu ilikuwa kama movie enzi hizo, mtu hukosi kununua gazeti la Uhuru.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...