tumeingia doha, mjii mkuu wa qatar, na kukutana na wadau hawa. toka shoto ni boniface pawasa anayesakata kabumbu la kulipwa katika klabu ya al-markhiya pamoja na omari chanda (kulia) na aliye kati ni kaka swahibu bwami anayefanya benki ya standard chartered hapa doha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ina maana APR wamemuuza Pawasa kwa Waarabu?

    ReplyDelete
  2. Hawa wachezaji wanafaa kujumuishwa Stars.Sina uhakika wa huyo mwingine,ila Pawasa bado wamo na ingefaa ajumuishwe stars kwa maandalizi ya mechi dhidi ya Simba wa Teranga.Maximo yawezekana hana taarifa zao kutokana na TFF kutokuwa na rekodi nzuri za wachezaji.Mungu ibariki Stars,Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,
    Vipi huko hamkufungua Tawi la CCM? Au ni kwa sababu ni Uarabuni mnajua kuwa wanasapoti CUF?

    ReplyDelete
  4. jamaa lakini wanaonekana wamechoka

    sijui vipi huko Umangani

    ReplyDelete
  5. Tawi la ccm vipi huko?Iko siku utatueleza hatuna shaka

    ReplyDelete
  6. MY DEAR TANZANIAN.
    Inaonekana Michuzi anawajua sana footballers wanao lisakata kabumbu la kulipwa ngambo....Dooooo naomba sana mungu atujalie ili tuweze kuona Mtanzania akicheza mpira wa kulipwa. Hao anaowataja Michuzi ni wachezea mpira ..siyo wacheza mpira..
    Doctor///

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...