gwiji la muziki wa reggae samweli mreteni kimbute a.k.a jah kimbute wa roots and kulture band. nasikia amerejea kijijini na sasa ni mkulima mkubwa wa mazao ya biashara na mambo yake sasa tambarare, baada ya kustukia kwamba muziki bongo hauna dili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. enzi yake muziki ulikuwa sio dili lakini sasa mbona maana mazuri kama wanavyodai wadau wa muziki ni haki yake kujaribu kitu kingine pia michuzi naomba Picha ya RAY ABDUL mwenye majina Hamsini pamoja na kina Saydou,chris Phaby the lover Gerry Koto, Holela na Spear Machumu

    ReplyDelete
  2. mzawa si utani jah kama kaamua kwenda kwenye jembe ni maamuzi ya busara ,na kweli ukizingatia mziki wakati huo ulikuwa haulipi na pili inaonyesha wewe ni toto hawswa la town baada ya kumuomba bwana michuzi aziweke picha za hao jamaa uliowataja mala ya mwisho niliwahi kumuona spear akiwa msikitini pale bakwata kinondoni kanzu kubwa tu na mtu wa msala ,na holela alikuwa na duka la nguo pale karibu na magenge ya kisutu kinondoni na Ray amdu papa suma manga sijui yupo wapi okay majina hayo umenikumbusha back of the day

    ReplyDelete
  3. Ray Abdu, papa suma, adedeji, shangazi kaa ..... n.k, mjomba alikuwa nayarudia mara ya pili hata tatu vilevile, ule nao ni usanii wa aina yake.

    ReplyDelete
  4. Ngoja nikumbuke majini ya ray abdul...ray abdul, papa suma, adedeji, tia nikutie, nipe jiti, toto la jiji, zeze langu.. duu na mengine wala sikumbuki...halafu pale mbowe alikuwa anaingia free ila ndani ukikutana naye sio mizinga hiyo ya bia ila mwisho wa siku niliambiwa hakuwahi kukosa kulipa rent ya nyumba yake pale national housing keko.... kwa kifupi jamaa alikuwa fun!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...