dansa bingwa wa kwasakwasa kokoliko akifanya vitu vyake ymca miaka hiyo. huyu bwana alijulikana pia kama bileku mpasi (rapa wa pepe kalle) wa bongo kwa minjonjo yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Enzi hizo kina kokoliko japokuwa walikuwa wanapanda daladala lakini walikuwa wanafagiliwa sana! Ila ndio hivyo tena wenzao kina MB Doggy leo hii wakitoa single moja, kesho unamkuta mtaani na baloon! Ndio maisha lakini, kutesa kwa zamu!

    ReplyDelete
  2. Mimi ni Lesbian, natafuta mpenzi. Awe na umbo nene na matiti makubwa.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa alikuwa anaoneka sana mitaa ya Lango la Jiji na kuanza kucheza huku watu wakimtunza. Ila ilkuwa anaoneka kama 'mtoto si riziki' vile? Bado yupo?

    ReplyDelete
  4. Rachel niandikie kwenye lyatuu@hotmail.com maana nami napenda sana kusagana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...