kuna wadau wameniamuru niwaoneshe warembo wa miss tz 2006 kwa karibu zaidi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Number 7 tu! The rest is Lokal Changuz.

    ReplyDelete
  2. Mnaomsema Michuzi na kiswahili chake. Kwa wale msiopenda lugha ibadilike poleni sana.

    Last year good ones in english language (USA) na maofisini tunayasikia haya maneno kila siku hapa na pale. Sasa kama hutaki kucatch up utabakia kutabasamu tu lakini hujui kinachosemwa.


    Stufish - A combination of stupid and selfish

    Counterstink - an odor used to mask another odor

    Chicken Head - A female that is only after men for money, sex or drugs

    Earjack – to listen on other people’s conversation (mbea)

    Smaticle – think you are smart while you are not

    e-venge – to seek revenge on someone via internet

    Murse – a male nurse

    Shmuga - silly

    Loginable – computer application after compilation but before compete testing

    ki - used to refer to a kilogram of drugs.

    Dee-Dee-Dee - A person that is very dumb or strange

    Smoocherella – to give a kiss

    pluto - to eliminate someone from a list or a party. Since planet Pluto disqualified

    plutoed - to be kicked out from something

    Tight – used to describe something that is well done

    chillax - to chill and relax at the same time

    Sponseree - who benefit from sponsor...

    googling - Search the website

    frienemy - a person who is your friend and still your enemy

    gradulate - to congratulate a graduate

    Myspacer- a person who is addicted to the online personal sites or dating sites

    confuzeled - confused

    wikiality - rumors becomes the story of the town or the office

    chidult - Grown offspring [child + adult]

    bumhug - Person who is continuously grouchy

    hunami - a huge surge of people gathered in one place

    Productionalize - To bring into production

    My bad - Hey nadhani mnajua hili... Kesho tutachambua tena with my co workers nitaengeza.

    Ni vizuri kuwa aware na kufahamu kila jipya manake wazungu kwa umbeya wanaweza kukusema mbele yako sasa kama hujui lisemwalo utabakia heh heh heh heh. Kumbe wanakusema wewe

    ReplyDelete
  3. Wacha wewe. No. 6 ndio kitu katika hao. She looks more confident than the rest of them! I wish you all the best.
    Kaka Michuzi samahani lakini ningeshukuru kama ungenipatia connections zake vilevile.

    ReplyDelete
  4. mnatoa points, ndio lakini mnamjua namba mbili ni nani?????????
    huyo ndio miss wetu namba tatu lisa jensen,ndio alikuwa amevalia namba mbili, hii picha imemtoa vibaya tu hapo.lakini bado anaonekana mzuri tu.
    jamani she is cute angekwenda miss world atleast angetuwakilisha vizuri.

    ReplyDelete
  5. Huyo Lisa Jensen ni uweupe tu, hamna lolote hapo. Kuna vichwa zaidi ya hao hapo, basi tu hawajitokezi.

    ReplyDelete
  6. jamani kwa anyejua Lisa Jensen yuko wapi msaada hapa na numer saba naye anapatikana wapi nataka kuoa kabisa...na brther Michuzi fanya hiyo kazi kifuta jasho kipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...