
dogo mike mushi (pili shoto) na mdogo wake richard na baba yao waliponitembelea hivi karibuni.
dogo mike hivi tunavyoongea anajiandaa kukwaa pipa kwenda kuhudhuria mkutano mkuu wa 45 wa Umoja wa mataifa wa Commission for Social Development utakao fanyika Makao Makuu ya umoja wa mataifa huko newala kuanzia tarehe 6 hadi 16 februari ambako mike atawakilisha vijana wote wa bongo. malengo mkutano ni "Promoting full employment and decent work for all"
Kama utapenda kuongea au kukutana na kijana huyu wasiliana naye kwa kupitia email yake mike@jakayakikwete.com
au number yake +1 646 644 8311
ama tembelea tovuti yake www.jakayakikwete.com
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteNani kamteua huyo Dogo kwenda kuwawakilisha madogo wa kibongo?
ReplyDeletemwaliko au uteuzi huo uliratibiwa na nani? au ndio mialiko ya kujuana???
Maana naona domain name yake ina jina kuubwa tu hapa nchini kwa sasa. sasa sijui ni nani ana hisa kwa mwenzie. JK kishasema hana ubia na mtu ktk urais wake, sasa huyu dogo mbona anatumia jina la JK kujitangaza?
Nadhani dogo anadandia gari kwa mbele....
Mike Mushi ni mmoja wa vijana ambao ni mfano mzuri kwa vijana wa ki-tanzania. Sio tu Tanzania peke yake bali ni Africa nzima. Anaitumia teknolojia ya habari na mawasiliano(TEKNOHAMA) vizuri na watu wengi wanafaidika na kazi zake nzuri.
ReplyDeleteSi ajabu Mike Mushi akaja kuwa millionaire wa kwanza kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano(TEKNOHAMA) huko nyumbani.Hii teknolojia imetengeneza ma billionaire wengi sana Marekani na si ajabu kitu hiko hiko kitatokea Africa.
Hongera sana Mike mushi.Nitafute ukifika.
Radio Butiama
kijana Mike Mushi nikijana anaye jituma kama vijana wengine wanaopenda kuonyesha na kujifunza kutoka kwa walio mtangulia sasa basi huku bongo mtoto yeyote ukimuuliza unataka kuwa kama nani anakuwambia jakaya kikwete sasa huyu kijana Mike nikipenzi cha Jakaya anampenda muheshimiwa sana hataikiwezekana jina lamwisho aitwe jina la mwisho la muheshimiwa rais mtoto huyu anampenda sana rais na JK anapenda sana watoto hata kwenye kampeni yake aiongea sana na watoto basi kila mtoto anataka kuwa kama JK huwezi kuona ni FUTURE nzuri, JK anapenda watoto na watoto wanampenda JK,
ReplyDeletekijana HUYU KAMCHANGU JK kama kiongozi wake na kuiga mifano ya JK,
ndugu mwanablog huyo ni mtoto kachangu JK kuwa mtu wa mfano katika maisha yake sasa tumuwache kijana atimize ndoto yake bila kumkatisha tamaa,
nenda kamuone umulize ni naninani kakuteuwa katika huu mkutano?
Mike ni ICT CONSULTANT & INTERNET INTERPRENEUR FOR YES TANZANIA
FOUNDER & CHAIRMAN ni JAKAYA MRISHO KIKWETE
HAYO NDIYO YANGU NIWAPE WENGINE MUDA WACHANGIE-USA-MIAMI
Hoyaaaaaaaa acha dogo afanye vitu vyake anajua anacho kifanya nibwana mdogo sna lakini mambo yake ni makubwa angeliku mtoto wa kiindi mgelilaumu akuna watoto wakibongo wanaweza kufanya hivyo vitu na tukajidai wa watoto wetu sasa unaanza hooooooo wakati wake huu wacheni wewe pigakelel dogo anakwenda mbele nenda kwenye mkuta UN umoja wa mataifa ili ujuwe kijana anauwezo gani wakufikiri ajateuliwa uwezo wakee ndiyo umemfikisha hapo tuna mjua huyu kijana muda mrefu tangia 1995 kwa vipaji vyake alivyo pewa na mungu nenda ukamsikilize anavyo teremsha nongo na Ban Ki-Moon na Asharose Mingiro
ReplyDeleteACHENI WABONGO WATESE NI ZAMU YAO
wewe ndugu yangu unaona watanzania niwajinga sana kwenye mkutano kama huo watachukuwa mtu ni mtu au mtoto na mtoto kwani hakuna watoto wa vigogo kwenya huko kwanini wakamchukua huyu dogo wengi wemeenda kuhojiwa wakaona huyo dogo mike ndiye anafa wakamchukuwa wala siyo mtu kampendelea huwa wanachukuwa kijana ambaye amefanya kitu kikaonekana sasa huyu dogo anamavitu chungu nzima tangia labda mimi nina mfahamu kwenye inernet sasa ni miaka tisa (9)mapaka muda huu sasa wewe unasema nini huyo siyo mwenzio ukipata nafasi kama upo majuukajionee huko UN
ReplyDeletevijana wa CCM hao matunda yc CCM ondoka CUF jiunge na CCM ule matunda yaliyowiva wacha kula mabichi
MIKE MUSHI ni kijana wa watu tumemsikia sana kwenye mitandao siyo jina geni kwetu tulikuwa tuna fukiria ni mtu mzima kumbe ni
ReplyDeletekinda shupavu lenye akili za kizali siyo za shuleni ndiyo sababu anaweza kufanya vitu vyote
hivi huyu ni GENIUS nitamtafuta tufanye naye mkutano na watanzani tulioko New York
tupange kuitangaza Tanzani huku majuu(VIVUTIO VYA UTALII) huyu dogo anajua vitu vingi sha lazima
tumtafute siyo bure JK anampenda sana angalia picha alizo piga na IKULU www.jamboo.co.tz/ikulu hii
link nilipewa na rafiki yangu sijui kaitoa wapi au angalia www.hotscom. com link about us muone dogo pia yeye ndiye mwenye
kampuni ya HOTSCOM TECHNOLOGIE(T)LIMITED
huyu dogo nilielezewa nikafunga mdomo
dogo hadandii gari kwa mbele ata siku moja ni jitihada zake zime mfikisha hapo mtafute kama wezangu walivyo sema uongee naye ndiyo utamjua huyu katoka kwenye familia masikini anajua anacho kifanya awakombowe kizazi chake kama bill gates sasa do not judge book by cover soma ndani mtafute hata kwa simu kama huko nje amerika umsikie dogo ametulia ni mtanashati, anaakili, nimpole, na msikivu,nimwepesi ku samee, ana upendo na watoto na wakubwa, alafu achoki kukusaidia uliza alivyokuwa anafundisha UNIVERSITY UNIVERSITY COMPUTING CENTER
ReplyDeletewatakuambia tawi la Arusha kuhusu MIKE MUSHI NA MDOGO WAKE RICHARD WILLIMS
POOOOOOA MIKE MBELE KWA MBELE
Mike,
ReplyDeleteHongera. Uwakilishe vyema vijana wote wa Tanzania na ukirejea utoe mrejesho.
JJ
Mike,
ReplyDeleteHongera. Uwakilishe vizuri vijana wa tanzania na ukirudi utoe mrejesho.
JJ
mhhhhhhh kwani huyo mike ni lazima atumie hilo jina la kikwete??????????jamani wa bongo kwa kupenda ujiko! kwikkwiiiii
ReplyDeletekaaaaaaaaazi kwelikweli.
haya kijana katuwakilishe vyema kila la kheri
Mabibi na mabwana huu ni mwaka wa bahati sana kwa watanzania kusikika katika matukio makubwa makubwa mungu ameibariki nchi yetu pia anatupenda kwanza tumshukuru mungu kwa kutupa rais mzuri anaye weza kutuongoza na mwenye bahati,
ReplyDeleteJK amekuja na bahati yake katika taifa hili tumuombee mungu maisha marefu,
Pametokea nafasi kubwa sana za uongozi za kimataifa na watanzania wamezipata kwa hiyo huyu kijana Mike mushi nilivyo fuatilia historia yake ni kijana wakuigwa barani afrika na dunia kwa uwezo aliyo nao kwa familia za afrika familia masikini mimi sijui ataiyo computer yakujifunzia waliitowa wapi huko kijiji kwao
Mtoto huyu ajaanza leo ni mtundu sana mbunifu anapenda kuchangia mawazo na wenzake, sisi tunaokaa ONLINE kila siku basi ndiyo msaada wetu, mara ya kwanza kufahamishwa kwa huyu kijana mimi nilifikiria ni mtu mzima kama mwenzangu aliye tangulia kushangaa kama mimi kwa upande wangu ninafikiri nikumsaidia tu afike huko anako kwenda ni mtoto wetu, tumsaidie mawazo jinsi atakazo weza kuongea kwenye mkutano ,na wale wanao jua mkutano unahusu nini wamsaidie, ni mtoto siyo kwamba anajua kila kitu,
Ninatumaini angeliweza kwenda kijana yeyote tu na siyo Mike na mkutano ukenda vizuri tu, sasa kama imekuwa bahati yake sasa tumsaidie inakuwa vingumu sana kwa watanzania kuelewa ata huyo mtoto akifanya vibaya aibu ni ya kwetu, sasa tusifikirie upande wa hasi ,
Kwahiyo katoa namba yake ya simu na email ninafikiri anataka msaada wale wanaoishi marekani mumsaidie mkutane au mpigie simu au email kama unapata nafasi wale wanaomjua kupitia ONLINE ni nafasi nzuri kukutana kufahamiana zaidi , kumpa mtoto moyo na ushauri, ninatumaini sisi sote tumemfahamu kupitia internet na kwa kazi zake anazozifanya imetokea nafasi kwahiyo sasa muonane mbadilishane mawazo, tulijenge taifa letu simnajua ule usemi ''VIJANA NI TAIFA LA KWESHO''
Mike mushi ninakutakia mkutano mzuri wenye mafanikio kwa vijana uliyo waacha bongo
Pili uje na majibu mazuri tutafanya maandalizi ya kuwa na kipindi TVT kuhusu safari yako nina wasiliana sasa hivi huku DAR, na bwana DOTTO kuandakipindi utakapo fika
Mungu akusaidie
t
MJUE MIKE MUSHI ANGALIA PICHA HAPO CHINI
ReplyDeleteangalia picha hapa hii link.http://www.jakayakikwete.com/kikwete/thumbnails.php?album=1
link # 2.http://www.jakayakikwete.com/kikwete/displayimage.php?album=1&pos=10
link#3http://www.jakayakikwete.com/kikwete/displayimage.php?album=1&pos=12
link#4http://www.jakayakikwete.com/kikwete/displayimage.php?album=1&pos=7
link #5http://www.jakayakikwete.com/kikwete/displayimage.php?album=random&cat=4&pos=-14
link #6http://www.jakayakikwete.com/kikwete/thumbnails.php?album=1&page=2
link #7http://www.jakayakikwete.com/kikwete/thumbnails.php?album=1&page=3
link #8http://www.kikweteshein.co.tz/photos/thumbnails.php?album=2&page=3
link #http://www.jamboo.co.tz/mike/DSC01768.JPG
link# http://www.kikweteshein.co.tz/photos/displayimage.php?album=2&pos=32
link http://www.kikweteshein.co.tz/photos/displayimage.php?album=2&pos=30
linkhttp://www.kikweteshein.co.tz/photos/displayimage.php?album=2&pos=34
msaidieni jamani anajitaidi sana kijana huyu anajaribu naye kidogo tu