sehemu zote za wapita kwa miguu dar zinatengenezwa. hapa ni gerezani karibu na dawasco

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. acha uongo mkubwa hakuna lolote barabara zote za wapita kwa miguu zimetengenezwa????? iyo ndoto itakamilika 2025 au badae

    ReplyDelete
  2. KAMA UTENGEZAJI WENYEWE KAMA BARABARA YA MUHIMBILI BASI TUMELIWE

    ReplyDelete
  3. why is this country wasting so much money going to the extent of buying matofali ya urembo...si ni cheaper kuweka paving stones or just cement it... tunahela za kuchezea..Hebu nenda UN road angalia hali ya hayo matofali sasa hivi- ni kichekesho tupu...NCHI INALALAMIKA UMASIKINI LAKINI IDEAS KUZIDI UWEZO WETU

    ReplyDelete
  4. MICHUZI ACHA LONGOLONGO. BARABARA CHACHE SANA ZINAWEKEWE HIYO KIYU. NI MAMBO YANAYOFANYIKA POLEPOLE.WAPIGA KIWI VIATU BADO WANA DEAL KUBWA SANA KUTOKANA NA VUMBI KALI HATA CITY CENTRE.

    ReplyDelete
  5. braza michu fagilia kikwete akuongezee trip ndio bongo experience hiyo tunaita!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...