ndesanjo kazi yako bado naifanyia kazi. lakini wakati tunasubiri hebu nipashe jinsi nyuzi zilivyokuwa zinagongana hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kulia mtaaalam nguza viking,RIP maestro ndala kasheba,kasongo mpinda,mziki mnene enzi hizo 'usipime'.

    ReplyDelete
  2. Jamani mlio bongo tuambieni nasikia Nguza Viking na wanawe wako kifungo cha maisha jela. Walifanya nini hiyo familia....?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...