jk akikaribishwa makao makuu ya kamisheni ya ulaya nchini ubelgiji leo na rais wa kamisheni hiyo jose manuel barroso ambaye kamfagilia sana jk kwa mambo mengi na kuahidi kuendelea kuisaidia bongo katika masuala mbalimbali. bofya hapa kwa mengine yaliyojiri huko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hakuna kitu. No hope. Kiongozi wa nchi akiwa na fikra za misaada kujenga nchi yake/dependency, iweje sie ambao hatukusoma na hatujui chochote vile nchi inaendeshwa? Tutaishia kuwaona wazungu ni Mungu. I salute Ghadafi of Libya and other patriotic African leaders.

    ReplyDelete
  2. Hata kama Barosso kamfagilia JK, bado EU inakandamiza sana Africa kwenye maswala tofauti ....na isitoshe maraisi wetu wa Kiafrika wanategemea misaada kuendeleza nchi wakati hata hawajua kuset priorities....to start with magari ya kifahari ya serikali nakadhalika....Hebu fikiria kama Barosso ndo angekuwa katembelea Tanzania ni mamilioni mangapĂ® yangetumika katika maandalizi ya kumkaribisha wakati gharama ya kumkaribisha JK sana sana ni kaulinzi tu...Priority matters jamani!!!

    ReplyDelete
  3. Nakubaliana na mdau yeyote yule amabaye ana maoni kuwa hatuwezi kuendelea kwa kuomba omba.Kuomba kutawasidia wale wanaotuongoza maana wao wanajua wanachokiomba pia wanafahamu ni wapi kinapitia na wanakifanyia nini!-kujinufaisha na familia zao.

    Sisi tutaishia katika ubabaishaji tu.hatuna tunachoweza kubuni kwa ajili ya maslahi ya wanannchi tunaweza kufanya kuwanyang`anya walipa kodi hata kidogo kilichopo.

    Kwanza hatuna rahisi,hata mikutano anayoiendesha huku ni sifa na ubabaishaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...