victor kinjeketile kingunge ngombale mwiru na mkewe anitha wakikabidhi hundi ya sh. 500,000 kwa watoto yatima waliowaalika kwenye sherehe yao ya harusi juzi usiku ubungo plaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. May the almight god bless the marriage, give the fruit, longer life, happiness and peace. Nimependa na nimefurahishwa sana kuona watoto yatima walikuwa wageni waalikwa pia, neno la Mwenyezi mungu linasema kwamba unapotoa kwa yule unayeona hawezi kuku-refund yeye hatakuzidisha, ninausithibitisho wa hili.

    ReplyDelete
  2. jee hawa wawili wamepima ngoma kweli?
    manaake wote vipanga.

    ReplyDelete
  3. Mungu aibariki ndoa yenu, nimependa sana hiyo idea yenu ya kuwaalika watoto yatima. Watu wachache sana huwa wanafikiria vitu kama hivyo. Mungu atawabariki!

    ReplyDelete
  4. mbona watu wajinga hivi? Wewe anon hapo juu unayeuliza wamepima ngoma wewe afya yao inakuhusu nini? Wewe mwenyewe ushapima au kazi ya kuulizia watu wengine tu? Kwani kupima mpaka uoe au uolewe? UMBEA TU NYOO! Kuna mambo ya maana zaidi hapo ulitakiwa utoe comments kama vile kuwa compliment kwa kualika watoto yatima Hilo hujaliona unakimbilia kwenye kupima ngoma. Yaani watu wengine mimi kweli nashindwaga kuwaelewa HIVI TATIZO HASA NI NINI?

    ReplyDelete
  5. acha majungu wewe, unamjulia wapi huyo binti.....labda bwana kinje.

    mbongo acha majungu, jipange nawe uwe na yako.sawa kiongozi/

    ReplyDelete
  6. Wasiwasi wangu ni kuwa hawa maharusi au bwa. harusi asijetumia hili tukio la kuwaalika & kuwasaidia yatima kama ngazi ya umaarufu (cheap 'PR') ktk ambitions zake za kisiasa!!!

    ReplyDelete
  7. Hongereni maharusi. Mungu awajalie muwe na upendo baina yenu na familia zenu. Mara nyingi watu husheherekea bila kukumbuka wapo wengine amabo hawana hakika chakula chao kitatoka wapi. Kinje na mkeo mmeanzisha mfano wa kuigwa. Kuwaalika wasio na bahati na kuwapa chochcote ni jambo la kusifu na sio wanaonekana wana wivu na kuzungumzia mamabo yasiyo ya msingi. Anayesema kupima huenda hata yeye mwenyewe hajijui status yake hali kubwatuka tu. Shame!! Natarajia siku moja maaharusi wasio shida kama Kinje kutoa zawadi zao kwa yatima au kuchangia pasenti kubwa zaidi kwa watoto yatima. Kwa kweli Hongereni sana for the good example.

    ReplyDelete
  8. hayo mambo ya kupima ngoma yana wahusu nini?yaani wewe katika yote ndiyo umeona ni jambo la kuuliza,kwani wenyewe hawajui kama kuna ngoma?wabongo kama huna kitu cha kuandika find something to do,tuondeleeni ujinga huo.

    ReplyDelete
  9. Na wewe pia unamajungu , una msem mwenzako tuu, kwanni usemE LABDA KINJE? , kwakweli tume kuwa surprised , maana tulitegeme mmoja wa ile milupo ndio ita vaa shela,lakini cha ajabu kitu kingne kabisa ambacho hata watu jina walikwua hawajui, hapo KInje umecheza , nakupa hongera zote ,ila isije kuw aumelishwa limbwata tuu , Hongereni sana, na Mrs Mwiru , naomba mdhibiti huo
    umeo hata mloge, maana kuna K-lynn sijui kama jama at zachi,maana si unjua usemi , MUME WA MTU MTAMU

    ReplyDelete
  10. KWA KUULIZWA JE WAMEPIMA NGOMA NI SAWA, USISAKAME WATU HAPA, KWANI TABIA YA KINJE NANI HAIJUI HAPA MJINI?
    ILA BWANA TUWAOMBEE MUNGU TU, MAANA PEOPLE CAN CHANGE AND WHO KNOWS MAYBE ANITA'S LOVE HAS CHANGED KINJE, NA ANAONEKANA NI MSICHANA MZURI MAANA AMEKUBALI KUOLEWA NA KINJE WAKATI ANAJUA KINJE TABIA ZAKE ZIKOJE, NA KWAMBA AMEZAA WATOTO NA WANAWAKE TOFAUTI, KWA HIYO SHE STOOD BY HIM.
    WANAWAKE KAMA HAWA NDIO WAZURI NA WENYE BUSARA YA UVUMILIVU KAMA WANAVYOMSAKAMA PETER RUPIA NA GIRLFRIEND WAKE IRENE. LAKINI NI UVUMILIVU, ILA TUMWOMBEE MUNGU TU, AHESHIMU NDOA, NA IDUMU MILELE, KINJE NGOMBALE MWIRU USIWE KAMA RAFIKI YAKO MPENZI MATARE NYERERE NA EDWARD YONA E.T.C NDOA ZILIWASHINDA, PAMOJA NA WENGINE AMBAO KAZI YAO KUCHEZEA TU MABINTI WA WATU.

    ReplyDelete
  11. Wewe ANON wa 12:25,acha kumchachafia huyo aliyesema KAMA MMEPIMA,hilo ni wazo zuri sana tena sana na hilo swala la kusema kuhusu yatima ni sawa lakini siyo kum barracked.

    Kwani kabla ya kuoana mnatakiwa mweende ANGAZA kungalia afya zenu maana mnatarajia kuleta kiumbe duniani msije mpa matatizo.

    Wewe ndiyo wa kuulizwa tatizo nini maana naona umehemkwa kama kifuu na nazi vile kwa kuambiwa kupima,TUKUULIZE WEWE HIVI TATIZO NINI UNAKASIRIKA KUGUSIWA JUU YA HILO???

    ReplyDelete
  12. gegedu kila mtu anaye oa au kuolewa siku hizi wanapima goma,cha ajabu ni kuchukua muda wako kuuliza swali kama hilo,hilo ni swala la kila mtu anayefunga ndoa na hata baada ya ndoa kuheshimu ndoa,hilo siyo swala la kumuuliza mtu,kwani wajibu wa kila mtu.

    ReplyDelete
  13. Kwani nani kasema mtu aliyepima na akakutwa ameathirika haruhusiwi kuoa au kuolewa?? kweli elimu juu ya ukimwi bado sana. ukiwa positive ndoa ruhusa na kuishi maisha ya upendo kuliko kitu chochote,pia kuzaa ni ruhusa ila tu mama apewe dawa kabla ya ujauzito, wakati wa ujauzito na asinyonyeshe mtoto, na kuwa na uhakika zaidi kwa mtoto asiathirike mtoto anatakiwa apewe one dose of ARVs within 24 hours baada ya kuzaliwa. hivi si ninasikia Rais wa Gambia kagundua dawa?! mmh haka kaUKIMWI naona soon katafikia tamati yake na wana wa Adamu mtaishi mkifaidi vitu vyenu vitamu bila ya mashartiiiiiiiiiiiiiii signals very clear from one network..Tigo to Tigo oyeeeeee!!!!!

    ReplyDelete
  14. Gegedu unachefua na comment zako plzzzzzz!!!!!!!!Huu ulinzi hawawezi kukupa na shift ya mchana ili ukose mda wa kuongea ujinga? kupima au kutokupima ni maamuzi ya mtu,fala wewe!!!!nenda kalinde tuachie kelele

    ReplyDelete
  15. Tanzania is like a circus kila mtu anaenjoy na anruhusiwa kucheza mchezo wake wa kuigiza.

    Huyu leo katoa hiki na mwingine amerudi kutoka ughaibuni badala ya kwenda kulala nyumbani kwao kwanza tunaambiwa akikwenda kulala na watoto yatima.

    Ndio your concerns about those kids na your giving is apprecited. Something is better than nothing lakini tuangalie in a long run terms about the welfare and well being of a precious child. Je mimi kulala kwenye hii ophan house itanisaidia nini, je huu mchango wangu utasaidia nini. Kwanini wenye uwezo tusianze tabia ya kuadapt mtoto mmoja mmoja au hata wawili .....tukiwa na moyo huu kweli hio nyumba hazitakua zinahitajika tena. Hizi hela za hapa na pale hazina guarantee kuwa ni ngapi direct zinaenda kwa huyo mtoto na akifikia umri wa kwenda high school ni nani atamgharamikia elimu yake? Hao watoto wanahitaji tender love and care kama watoto wengine na wakikua kwenye family environment possibility ya kuwa somebody in his adult life ni kubwa kuliko kuishi atakayeishi kwenye hizi nyumba.

    Michuzi mimi ningeomba utuwekee picha nyingi zaidi za hawa watoto na jinsi wanavyoishi...The more awareness we have the more tutajua pa kuanzia na kama serikali yetu ingejaribu kusisitiza sana kwa watu kuadapt au kuelimisha watu umuhimu wa kuadapt watoto yatima.

    Labda watu wakitangaziwa kila siku kwenye ma TV au radio kama hizi nchi zilizoendelea zinavyofanya watakua na motisha. Wao wanavyowaonyesha kila Jumapili kwenye TV tofauti watoto walioko available for adaption na story za huyo mtoto zinaongeza moyo sana. Mimi serious ninataka kuja kuadapt mtoto at the end of this year. Lakini hata sijui pa kuanzia.

    ReplyDelete
  16. Hayo majina mbona mengi hivyo.

    ReplyDelete
  17. Anon hapo juu unajitahidi sana kuongea juu yangu,vizuri kumbe unanijua sana safi sana dada!!

    Andika mpka uchoke ukimaliza uniambia umemaliza kwani sina muda wa kubishana na mtuu katika chati hii kwani siyo mahali pake,na kama unataka kuchojolewa nguo bure kama kawaida yako let me know ok.

    Vingine sina muda na wewe najua ni ukweli unakuuma sana lakini huo ndiyo ukweli week ijao karibu umeonee anatakiwa siyo wewe sura mbaya machunusi kama Kima.

    Ila nina burudika kupa ujumbe wako hahaha hahahaha kwi kwi kwi!!!

    ReplyDelete
  18. Point Anon Feb 12 7:02. Tupewe NGOs za watoto yatima I have the same vision
    Aurely

    ReplyDelete
  19. Mi mwenzenu huwaga sipendi comment za gegedu

    ReplyDelete
  20. hongera sana bwana kinje na tunakuomba tu utulie na huyo dada etu kwani bado mdogo na usimpige kama ulivyokuwa ukiwafanyia waliopita.kingine jack na kisa watapitia wpi mjini down town mana ni aibu kujiachia na kinje then next week anaona.poleni sana ila mungu atawajalia mtaolewa na wanaowapenda kwa dhati.lkn kinje na wewe mhhh haya.tunaomba utulivu.

    ReplyDelete
  21. Kinje namfahamu toka akiwa mdogo huko Tanga.Jambo la kualika watoto yatima ktk harusi na kisha kuwapa mchango wake na mkewe ni jambo la kusifika.Hawa ni watoto wa Taifa letu,kile kidogo tulichonacho tukiweza tukusanye na kuwasaidia mpaka watakapoweza jisaidia wenyewe,bora wasimamizi wasitajirikie hapo tu maana si sawa.Inatia kero sana kuona huku ughaibuni watu wakiona maisha yao ya pensheni yanautata basi wanaenda Africa kuanzisha vituo vya kulea watoto eti kwa madai kuwa msaada wao unahitajika na kuwa hao watoto hawatafika popote bila msaada wao!!Watoto yatima wao huku na wazee wao wasio na nguvu aaa.. hawawaoni,wanawafungia kwenye majumba peke yao!!Na wakirudi huku ughaibuni kuona familia zao ni kukashfu, kukebehi watoto wetu na nchi yetu kwa jumla.Mungu awabariki Kinje na mkewe.

    ReplyDelete
  22. Good on u rude boy kinje, let'em say wo'ever they want.No body knowz u than u r self. But remember God will bless u and u r Mrs only if u know him. So try to...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...