Home
Unlabelled
ymca
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebwanaa eeeh! ....naaam enzi hizo! Boogie Disco kuanzia saa nane Mchana siku ya Jumapili....na kile kibao kingine cha 'Maiko Jakisoni' "Cheza, cheza kwa stepu, usimkanyage mwenzio,..."! ~MchongomaMwiba~
ReplyDelete...kumradhi, maana naongezea comment! Hivi mmeshitukia enzi hizo kila mtu alikuwa mwembamba? wanerne walikuwa wachaaaache, tena ukiwa una kajimwili kidogo unaitwa Bonge! aisee tumetoka mbali wajemeni...au sababu ya mikate ya siha enzi hizo? ~MchongomaMwiba~
ReplyDeleteKweli bwana hamna wanene, ah! Haya ni mambo yananikumbusha mbali,enzi za maiko jakson 'katakata kachumbari, kibo!...'
ReplyDeleteHIZO NI ENZI ZA AWAMU YA KWANZA KILA KITU HAKUNA, KIKIPATIKANA KWA FOLENI. WATU WATAACHA KUWA WEMBAMBA.
ReplyDeleteNahapo YMCA ndo ulibatizwa na jina la MICHUZI!
ReplyDeleteNa hapo YMCA ndo ulibatizwa na jina la MICHUZI. Ulikuwa mwembamba na likoti lile la brauni ilikuwa kubwa kwako.
ReplyDelete