rais joseph kabila wa kongo drc akiwasili mkutanoni leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. dogo tumepiga nae chandimu huyu saa hivi anavalia mikoti mikubwa na walinzi kibao

    ReplyDelete
  2. We Anony wa Hapo juu, Mwenzio ndo kishatoka..
    haisaidii wala haibadili kitu kwa kusema kuwa "Ulicheza nae cha ndimu"..

    Angalia usawa wako na wewe watu waje kusema walicheza na wewe.....

    ReplyDelete
  3. kwani kuchezanae cha ndimu ndo nini we kamaulikimbia shule kwa kuogopa umande ni kivyako mwache mwenzio ale wa kuchagua nawewe hangaika na wa chuya kwa uvivu wako wa kuchagua hayo ni matokeo ya juhudi yake na ya wazazi wake acha ngenga

    ReplyDelete
  4. Mshikaji sijui aliweza kutembelea nyumbani kwao kwa zamani pale msasani? Jamaa TZ ni kama nyumbani kabisaa. Kasoma sekondari mpaka university TZ. Nahisi anahisi yuko more comfortable akiwa Dar kuliko akiwa kwa mzee Makiadi(Kinshasa).

    ReplyDelete
  5. Ningeliolewa na huyu bwana kama nisingelichelewea yunivesity nchi za nje..Nikakuta sina mwana na maji ya moto..Booohohooo!

    Big up JK!!

    ReplyDelete
  6. Kwa vile kawa Rais ndo unakuja na hayo mawazo eti angekuoa!!Nani kakwambia Jose anapenda machangudoa kama wewe???

    ReplyDelete
  7. nyie anon wawili hapo juu pumbafu mi nimekanyaga umande na niko bomba, sema to hakuna system ya ku-track success the wabongo we nenda kabebe box zako ukitoka kanywe heineken

    ReplyDelete
  8. Jamaa kamaliza Form SIX pale kinondoni muslim, na baada ya hapo wakati babayake yuko bongo akipanga kwenda DRC baada ya kuishi CUBA kwa muda, jamaa alikwenda Monduli Chuo cha Jeshi Afrika Mashariki na kati kwani wote wapiganaji wa msituni..M7,Kagame,Garang (RIP) nk wamepita pale, alivyomaliza kaenda DRC Kuungana na Baba yake, walileta ma BMW mengi sana Bongo kipindi kile, Desiree alikuwa na kimada wake pale Kunduchi....

    ReplyDelete
  9. hahaha,
    KIDUME, acha kukurupuka na kuanza ku-type na spidi yako ya kudonoa umesoma tunabishania nini lakini?
    sidhani ka kuna mtu kaongelea elimu ya Joe hapo juu, si tunaongelea kucheza nae chandimu shenzi taipu

    ReplyDelete
  10. to anony wa 6:29.. dada kama unataka kuolewa basi sema tu wengine tupo na tumekanyaga umande kwa fujo..na kama vipi kama upo UK kamtafute Ridhiwani Kikwete akuoe maana naye anaandaliwa so kama unashobokea marais na watoto wao anzia huko...peace out biiitch

    ReplyDelete
  11. anon Saturday, March 31, 2007 2:05:00 PM, naona sasa unatoka kwenye closet! ndo matatizo ya kujazana midume 10 kwenye kiflet kimoja eti mnasave cost ndo hivyo mnaishia kuwa magay. mna shida sana watoto wa UK. mi natengeneza hela nyingi kuliko mkichanganya wewe na dabo zako, huyo basha wako Ridhiwani pamoja na baba yake. Samahani sipendi kutaja majina ya watu ila huyu choko ndo kaleta hili jina sijui ndo basha wake anaemwamini kwa hela. Tunatengeneza hela hapa unyamwezini babake na hatuishi kwa kuogopa ogopa kupigwa bomba

    ReplyDelete
  12. Wewe unayesema kuwa ulicheza naye cha ndimu..ujue sasa life ni kupishana, kutofautiana..mwenzio sasa yupo kwenye different league wewe angalia usawa wako. Hamwezi kuwa wote sawa kwenye life.

    Wewe Changu ambaye unasema kuwa JK angekuoa endelea kujipangia maisha..yeye kupiga mara moja unafikiri ndio anangekuoa? Jaribu bahati yako kuna watoto wa mkapa wamejikalia hawana dili wanaweza kukubabatiza.. au kama upo UK mtoto wa JK anaandaliwa anaweza kukubenjua

    ReplyDelete
  13. kina Kabila hawana lolote maana bila ya Kagame kuwasaidia wangekuwa mafala tuu ya msituni...lakini cha ajabu baada ya kagame kudrive mobutu out of kinshasa baba yake akajidai mjanja...anyway tunajua yaliyomkuta babake kwa ajili ya upuuzi wake lakini kijana diplomasia sana huyu na aligundua bila kuelewana na kagame hakuna piece,safi sana endelea diplomasia for the sake of your country sio ujinga ujinga tuu na kiburi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...