rais levy mwanawasa wa zambia awasili kikaoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ona sasa raisi mzima unanyoa ndevu kwa viwembe tena?nunua homecut mzee!sijui Roby atakununia!maana ile statement ya the sinking Titanic anaona kama unamtakia mabaya vile japo ni ukweli.

    ReplyDelete
  2. heeh mbona na plaster tene Zambia kuna uhaba wa mashine wananyolea wembe nini?
    Ila hes handsome japo ana mvi kibao.

    ReplyDelete
  3. Raisi safi sana huyu.Kama kuna mtu anapenda wawekezaji waafrika ni huyu.Anaheshimu hadi wawekezaji wadogo kabisa.

    Zambia ndiyo nchi pekee Afrika mashariki, kati na kusini ambako kumejaa wawekezaji wadogo wa Afrika kutoka nchi nyingi za Afrika .Ukienda utawakuta Watanzania kibao kuanzia karibu kila kabila la Tanzania liko kule,Warundi,wanyarwanda,wakongo,wazimbabwe,waafrika ya kusini,wanamibia,waswazi n.k wanaendesha biashara zao kihalali bila bughudha kabisa.

    Mwanawasa anatambua kuwa wawekezaji wadogo ni muhimu kwa uchumi.Wafanyabiashara wadogo waafrika toka nchi za Afrika wamejaa sana Zambia.Wana maduka,viwanda,n.k na wanapewa leseni na hawabughudhiwi.Tofauti na nchi kama Tanzania,Kenya na Uganda ambako watu wanajifanya wazawa sana na wana utaifa sana wakati utaifa wenyewe ni wa kuwakataa waafrika wenzao na kuwakumbatia wahindi na waarabu au watu wenye mitaji mikubwa toka nje ya bara la Afrika.

    Kama kuna Raisi mfano wa wengine kuiga kuwainua waafrika wengine kwenye eneo la uwekezaji wa watu wadogo wenye mitaji midogo.Mwanawasa ni mfano mzuri tofauti na nchi nyingine ambako wazungu na waarabu ndio hasa wanaonekana ndio wawekezaji na wanasiasa wanashindana kujikomba kwao.

    Hongera Mwanawasa.

    ReplyDelete
  4. Sir Issa Michuzi Huyu anon wa (friday, march 30, 2007 4:11:00) aendelee kutoa hoja nzuri kama hizo wawekezaji wadogo ni safi thats good. Viongozi wamo humuhumu kwenye blog. kumbuka (wadogo sikuzote wanakua, ambao tayari washakuwa, wanazeeka)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...