kadri siku zinavyokwenda ndivyo sura za sehemu za biashara zinavyozidi. hapa ni karibu na katisa la mtakatifu peter ostabei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hey Michuzi katisa maanake nini???? Au umemaanisha Kanisa? Rekebisha please.

    ReplyDelete
  2. Lakini sasa Michuzi unasema hizi sehemu mbalimbali zinazidi kuendelea kila siku, inaonyesha kweli mnaanza kupata nafuu fulani, lakini kwa watu kama sisi tunaoishi Ughaibuni tunaona hakuna maendeleo yoyote au kitu chochote kinachoweza kutushitua labda Uwanja mpya wa Taifa.

    ReplyDelete
  3. Mie naungana na huyo mchangia hoja wa kwanza wewe misupu kwasababu unatumia slangs nyingi sana ambazo unatuzingua sana sie tuliye ughaibuni sasa hata hatujui kama umekosea au la! Hivyo hata sijui kama ulikusudia katisa au kanisa, japo inaonesha ulitakiwa uandike kanisa. au ndio nilikimbia umande ktk soma la kiswahili?

    ReplyDelete
  4. wewe anony wa pili hapo juu.bongo watu hawafanyi mambo ili kukushtua au kukuvutia wewe uliezamia huko.wanawekeza ili wapate pesa,kusaidia nchi yao,watanzania wenzao wazalendo na jamii kwa ujumla.na ndhani atakuwa mjinga yule atakaefanya jambo la kimaendeleo ili kuvutia kikundi cha watu wachache walioamua kwa sababu zao kuikimbia nchi.tanzania inakadiriwa kuna na watu 38.5 milioni sasa hivi,wakati waliokimbilia Ulaya,Marekani na Asia hawafiki hata laki moja;tena ni wachache sana ktk hao wanaofanya kazi walizosomea hko waliko (kwa waliobahatika kusoma).kuwa na adabu la sivyo tutaomba picha ya kijijini kwetu na babu yako itolewe hapa tukuponde zaidi!

    ReplyDelete
  5. Jamani nisaidieni hivi mtu ukiwa nje ya nchi basi umekuwa tofauti na walio baki home? mimi mbona niko nje na nalia kila siku home sweet home? na nina maisha mazuri sana tu hapa!? sasa wengine nawashangaa eti "huko kwenu... sisi huku amerika...hapa UK... acheni uongo hamtambuliwi huko hata kama mtu una mapepa bado unaambiwa (nationality by naturalisazion original tanzanian)
    Jamani kwenu ni kwenu hata kama ni pangoni.

    Wadau, sio wote wa ughaibuni wana jiona wako mbinguni ni wachache na wengi ni wale limbukeni waliondandia meli kufika ulaya, hawana kisomo wala nini.
    Acheni ushamba!

    ReplyDelete
  6. Anon hapo juu umenukuna vilivyo na umesema kweli.Huyo mjinga anayesema "huko" na yeye akijiita wa "huko" ughaibuni ni wale waliojilipua wakati elimu yake ni darasa la saba, sasa huko atapata kazi gani kama sio ya kuosha magari? Nina uhakika huyo hataki kurudi huku kwani hata kibanda cha mbavu za mbwa hana sana sana akirudi atakuja na viraba vya kudanganyia lakini hana lolote hata life yake huko ni ya mashaka!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...