awali majengo kama haya na huduma zake zilipatikana katikati ya jiji tu. hapa ni mbezi tangibovu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    michu hebu tupe bei za vitu katika super market je mlala hoi anasubutu kutia mgu wake akafanaya shopping hapo au tena ndo nji ishakuwa ya wajanja na walionacho. usiponijibu swali langu yani utanikasirisha sana tu.
    wadau wenzangu hebu changamkeni basi jibuni na nyinyi pia michu ikishindwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...